Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

Watu humu wameweka matumaini makubwa sana kwa Jeshi la polisi wanajifanya wamesahaaaau hau polisi wetu, kiufupi hiyo issue ishaisha na huyo Binti ndio anaenda kuozea jela maana wanachoenda kufanya polisi ni kumminya clitoris Kisha akiri ameua na mchezo utakuwa umeishia hapo.
Basi police zanzibar wanafanya kazi kwa weledi kuliko wa bara
 
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.

1. Jambo hili linaweza kuwa limefanywa na mtu kwa wivu tu wa kuionea wivu familia. Ukitazama familia inavyoonekana haikosekani binadamu wa kuionea wivu.

2. Yawezekana baba ana mchepuko unaoweza kuona labda mtoto ni kikwazo kwa mambo mengi kwake

3. Huyo mtu aliyemleta housegirl ni nani? na ana mahusiano gani na familia hiyo.

4. Wakati hawana housegirl, ni nani waliyemuacha kuangalia nyumba pamoja na kijana, maana nimemsikia mama akisema hakuwa na housegirl. hapa nataka kusema inawezekana kuna watu waliwaachia uangalizi wa nyumba na walifaidika na jambo hilo, ujio wa housegirl mpya ukakata faida iliyokuwa inapatikana na binadamu kila mtu ana akili zake jinsi ya kutatua tatizo.

5. House girl aliyeondoka aliondoka kwa sababu zipi na yuko wapi?

6. Katika majirani na marafiki wa familia nao wahusishwe.

7. Huyo housegirl anayedaiwa kuuwa afuatiliwe alikotoka alikuwa mtu wa aina gani?

Maana yangu ni kama kuna mtu amefanya uamuzi wa kipuuzi kumuua mtoto kwa sababu ya kipuuzi tu ndogo, tuwaombe vyombo vya uchunguzi wamtafute huyo mtu mpaka apatikane na tusimbebeshe "housegirl" kama siye yeye aliyetenda.
Maswali yako na hoja zako ni za msingi, jambo lingine la kufahamu alikuwa analipwa posho yake? Au walikuwa wanamnyima.
 
usikimbilie kuandika mambo mengiii ambayo hayana msingi, cctv zimenesa tukio, h/g alikuwa na siku tatu majirani na hiyo miche puko inahusikaje
Ushaambiawa zilikua hazifanyi kaz nyie wenzetu mliona tukio kwenye cctv gan
 
Naomba kwa Wanaokumbuka juzi juzi hapa kuna mtu Alileta Story ya yeye kuzaa na Dr. Na Alidai mke wake Kamzalia Watoto wa Kike tuu ila huyo Dr Kamzalia mtoto wa Kiume na Kapewa Baba Mwingine Asije kuwa ndo huyu Mdau wa Humu Ndani Kafanya yake Make Alielezea Kwa Uchungu Sana Mliosoma kumbukeni.
Hiii inasikitisha sana !!!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tunasubiria uchunguzi wa Polisi ila kwa House Girl kumuua huyo mtoto naona nafsi yangu inagoma.
 
Kila nikisoma huu uzi nakutana na mapya. Lakini bado akili yangu inakataa kabisa kuwa beki tatu mgeni na ana siku mbili/tatu tu kazini halafu kanyonga mtoto wa bosi wake kisha akampigia simu mama mwenye nyumba.
Naamini walipima pia macho maana nasikia ukipima macho ya huyo mfu huwa yanaonyesha picha ya aliyefanya tukio
 
Naamini walipima pia macho maana nasikia ukipima macho ya huyo mfu huwa yanaonyesha picha ya aliyefanya tukio
ndiyo maana siku hizi naogopa kwenda hospital unaweza kutibiwa na daktari kama huyu aliyeandika komment
 
Ni sawa na kuandika getini HATARI MBWA MKALI kumbe mbwa mwenyewe alishakufa
Jamani baada ya kusoma apa imebidi nifute hilo andiko getini maana Kama umenisema mimi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Enhee!! fbi wa bongo kwa kukuza mambo sasa!..
 
Hiyo familia+house girl wakifanyiwa water boarding watafunguka tu...
Umeenda mbali mno. Waterboarding ni mbinu ya kuyahoji magaidi kama ma Osama na mengineyo.
Simply nadhani polisi wakiwa makini ukweli wataujua.
Mungu amsaidie huyo Dada wa kazi....hakika serikali itazame vyema hili kundi.... Linanyanyaswa mno
 
Back
Top Bottom