kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
Kwanini zilizimwa, Nani alizima, kwa faida ipi
Na kama zilizimwa nani aliethibitisha kuwa house girl ndo alie muua huyo mtoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini zilizimwa, Nani alizima, kwa faida ipi
Kama ndio ivo basi kuna mijitu ni mashetani. Why umuue mtt mdogo asie na hatiaNo 4,Hapooo eneo alojenga alipewa na mjomba wake ina semekanika Ana mgogoro na watoto Wa mjomba Hawa kufurahishwa na yeye kimaisha katoboa! Na pia walikuwa na mpango Wa kuhama hapo
Wapelelezi sasa Jf imewapatia mahali pa kuanza kupafanyia kazi. Binti wa kazi ni kisingizo tu. Wachaga wameuwna wenyewe Kwa wenyewe hapo.No 4,Hapooo eneo alojenga alipewa na mjomba wake ina semekanika Ana mgogoro na watoto Wa mjomba Hawa kufurahishwa na yeye kimaisha katoboa! Na pia walikuwa na mpango Wa kuhama hapo
Bahati mbaya vyombo vya uchunguzi hawajui kufanya uchunguzi, lisemwalo hulichukua kama lilivyo.Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha.
1. Jambo hili linaweza kuwa limefanywa na mtu kwa wivu tu wa kuionea wivu familia. Ukitazama familia inavyoonekana haikosekani binadamu wa kuionea wivu.
2. Yawezekana baba ana mchepuko unaoweza kuona labda mtoto ni kikwazo kwa mambo mengi kwake
3. Huyo mtu aliyemleta housegirl ni nani? na ana mahusiano gani na familia hiyo.
4. Wakati hawana housegirl, ni nani waliyemuacha kuangalia nyumba pamoja na kijana, maana nimemsikia mama akisema hakuwa na housegirl. hapa nataka kusema inawezekana kuna watu waliwaachia uangalizi wa nyumba na walifaidika na jambo hilo, ujio wa housegirl mpya ukakata faida iliyokuwa inapatikana na binadamu kila mtu ana akili zake jinsi ya kutatua tatizo.
5. House girl aliyeondoka aliondoka kwa sababu zipi na yuko wapi?
6. Katika majirani na marafiki wa familia nao wahusishwe.
7. Huyo housegirl anayedaiwa kuuwa afuatiliwe alikotoka alikuwa mtu wa aina gani?
Maana yangu ni kama kuna mtu amefanya uamuzi wa kipuuzi kumuua mtoto kwa sababu ya kipuuzi tu ndogo, tuwaombe vyombo vya uchunguzi wamtafute huyo mtu mpaka apatikane na tusimbebeshe "housegirl" kama siye yeye aliyetenda.
Tatizo Polisi wa Tanzania kuingia kazini ktk issue kama hizi weledi wao ni mdogo...Polisi waingie kazini, wasilichukulie juu juu hili suala, uchunguzi wa kina unahitajika kuna sintofahamu hapa na house girl anaweza akawa sio mhusika masikini.
Binafsi kuna issue serious naiona hapa hasa masuala ya mahusiano aka michepuko ndio inaweza kuzalisha ujinga kama huu....Michepuko ya Mwanaume na Mwanamke kama ipo ifuatiliwe kwa kina.
DNA za mme na mtoto ziangaliwe hapo.
Binafsi naona kama binti wa kazi anabebeshwa msalaba tu hapa ila tatizo lipo kwa wahusika wenyewe.
Hata mimi nimewaza sana binti aje siku mbili amuue mtoto bila sababu za msingi halafu ampigie mama wa woto simu amueleze kwamba mwanae hapumui na kawa wabaridi halafu asitoroke? kuna kitu kimefichwa hapa, weledi wa wapelelezi wetu utaibua jambo hapa.
Hata body language ya mama wakati anasimulia nayo inatia mashaka vilevile.
Halafu what if yule mtoto ni wa baba kazaa na mwanamke mwingine ndio akamleta hapo waishi wote na mkewe?
Ukute ndani iliingizwa maiti tu mdada wa kazi yuko bize na kazi zao wanazopangiwa nyingine zinaandikwa kabisa kwenye karatasiMleta mada umeandika vizuri sana haya ndo maswali sahihi ya kujiuliza…hata ukiangalia investigation channel za wenzetu jinsi FBI wanavyoenda kuanzia chini kabisa ya tatizo na kumuhoji kila muhusika na ndio maana unaweza kuta hata huyo driver tax nae anahusika….school bus lilimbeba….mtoto alicontact na nani akiwa shuleni…na maswali mengi kama hayo ndo maana kwangu mimi hii ni moja kati ya challenging case kwa jeshi letu la polisi.
Umesema kweli hapa...Hao majirani si ni wale wambea wa mjini anasikia kitu anakidaka na kukisambaza ni kama Zai wa Kijiwenongwa
Dah zipo kama urembo😂😂Baba wa Mtoto Amesema zilikua hazifanyi kazi.
Kwa hiyo wanaoua wote wanakimbia? Swali siku tatu tu aue? Ndiyo kama amekusudia hata masaa anaua, kikubwa uchunguzi ufanyike vyema, Ili aliyefanya hivyo ajulikane, ila house girl ndo alikuwepo nyumbani ndo maana Kawa mtuhumiwa wa Kwanza hivyo anaweza kuwa kafanya hivyo labda hakupenda kuja mjini au kaacha mpenzi huko na mengine anayoyajua yeye ila kuwa mtuhumiwa namba moja hilo ni sawa tu mpaka akiweza kujinasua.Mbona nilisikia nyumba ina CCTV na zilithibitisha uhhsika wake.
Ila hata mimi nahisi there is more to this story. Yani siku ya tatu afanye maafa na asikimbie
Dada wa kazi wacha wamzuie. Pia kwa usalama wake. Pengine kashuhudia kitu ambacho kitasaidia ktk upelelezi. Wakimtoa anaweza n yeye akamalizwa. Dada wa kazi inawezekana kashuhudia tukio jp Sio yeye ameua na pengine ametishwa.Alafu kumbe kuna mudaa kaka wa kazi nae alirudi nyumbani akaondokaa nashangaa why nae hajapelekwa polisii.. kuna namna hili tukio kwa asilimia 80 huyu dada naona anauziwaa kesii.. hii kesi isiangaliwe kwa wepesi kabisaa haya maisha yana mambo mengi sanaa
Hiyo Laki sijajua una maanisha nini ila kama una maanisha hawana uwezo wa kununua za mamilioni jua tu hawa watu wako vizuri sana ndugu...Mnafunga cctv za laki moja na usheh
Tatizo
Ova
Unaweza ukawa vizuri kifedhaHiyo Laki sijajua una maanisha nini ila kama una maanisha hawana uwezo wa kununua za mamilioni jua tu hawa watu wako vizuri sana ndugu...