Lkn Kwa maelekezo ya Mama wa Mtoto msichana wa kazi alikuwa mgeni,hivyo sidhani kama alikosana naye Kwa kipindi kifupi hivyo.Watanzania hawajui nini maana ya msaidizi wa kazi. Mnamtreat kama punda kwanini asiwapige teke?
Hata kama house girl akikutwa na kesi lakini bado haiondoi uhalisia kuwa kuna visababishi ambavyo inawezekana familia ni chanzo.