Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

Polisi wetu japo sometimes Wana maujinga ila wapo Makini


Wataleta majibu sahihi 100%
Usitegemee mia kwa mia kutoka familia yenye ukwasi wa kutosha.

Hapo mume au mke lazima anajua source ya kifo au kimetokana na kazini au mahusiano au majirani hivyo lazima awahi huko akahonge yaishe.

Sie tumlilie tu huyo malaika
 
Polisi iwahoji vizuri wazazi wa marehemu

Je aliyebomoa geti kabla beki 3 hajaletwa ni nani?
 
Kama kuhoji kwenyewe ndio kule kwenye mateso makali na kulazimishwa akiri kosa ukweli hautakuja kujulikana
 
Kama kuhoji kwenyewe ndio kule kwenye mateso makali na kulazimishwa akiri kosa ukweli hautakuja kujulikana
Mkuu sio kila mtu anahojiwa kwa mateso,hasa wenye kesi za mauaji.
 
Ongea kidogo kuhusu kubomoa geti, hii sijaiona mahali
Mama wa marehemu amesema chanzo cha kumpata huyo house girl Ilikuwa hivi:

Siku moja alirudi nyumbani kea taxi ambayo inapaki ofisini kwao na huwa anaitumia mara kea mara. Walipofika nyumbani akaona kitasa cha geti kimebomolewa ufunguo unazunguruka tu ndipo akaguna kea mshangao

Dreva taxi akauliza " dada kulikoni?" Ndipo akamueleza kitasa kimevunjwa.

Dreva taxi akauliza dada hauna house girl? Anasema sins aliyekuwepo ameondoka juzi Kati

Dreva taxi anasema kuna mtoto wa kaka yake huko Handeni amemalizia shule yuko tu nyumbani atamuulizia kama atakubali.

Ndivyo beki 3 akaja
 
8. Usisahau huenda mtoto yule hakuwa wa baba yule. Mama alibeba mimba ya bwana mwingine, akagawa kwa bwana mwingine. Tukose wote.
9. Huenda doctor ana visa na mtu, kaamua amkomoe.

Kifupi pana mengi ya kuchunguza.
Huwenda kweli Ila tusubiri ukwel utajuliikana
 

Na huyo kijana anaeshikiliwa je?
Ripoti ya polisi wanasema wanae kijana pia
Basi huenda huyo ndio muuwaji na msichana sio kabisa
 
Kila hatua ilionekana kwenye CCCTV camera mkuu
 
Hakuna ushahidi wa uhakika zaidi ya Cz
 
Polisi waingie kazini, wasilichukulie juu juu hili suala, uchunguzi wa kina unahitajika kuna sintofahamu hapa na house girl anaweza akawa sio mhusika masikini...
Wafatilie mpaka huko shuleni pia

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…