Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

Basi police zanzibar wanafanya kazi kwa weledi kuliko wa bara
 
Maswali yako na hoja zako ni za msingi, jambo lingine la kufahamu alikuwa analipwa posho yake? Au walikuwa wanamnyima.
 
usikimbilie kuandika mambo mengiii ambayo hayana msingi, cctv zimenesa tukio, h/g alikuwa na siku tatu majirani na hiyo miche puko inahusikaje
Ushaambiawa zilikua hazifanyi kaz nyie wenzetu mliona tukio kwenye cctv gan
 
Hiii inasikitisha sana !!!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tunasubiria uchunguzi wa Polisi ila kwa House Girl kumuua huyo mtoto naona nafsi yangu inagoma.
 
Kila nikisoma huu uzi nakutana na mapya. Lakini bado akili yangu inakataa kabisa kuwa beki tatu mgeni na ana siku mbili/tatu tu kazini halafu kanyonga mtoto wa bosi wake kisha akampigia simu mama mwenye nyumba.
Naamini walipima pia macho maana nasikia ukipima macho ya huyo mfu huwa yanaonyesha picha ya aliyefanya tukio
 
Naamini walipima pia macho maana nasikia ukipima macho ya huyo mfu huwa yanaonyesha picha ya aliyefanya tukio
ndiyo maana siku hizi naogopa kwenda hospital unaweza kutibiwa na daktari kama huyu aliyeandika komment
 
Ni sawa na kuandika getini HATARI MBWA MKALI kumbe mbwa mwenyewe alishakufa
Jamani baada ya kusoma apa imebidi nifute hilo andiko getini maana Kama umenisema mimi [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Enhee!! fbi wa bongo kwa kukuza mambo sasa!..
 
Hiyo familia+house girl wakifanyiwa water boarding watafunguka tu...
Umeenda mbali mno. Waterboarding ni mbinu ya kuyahoji magaidi kama ma Osama na mengineyo.
Simply nadhani polisi wakiwa makini ukweli wataujua.
Mungu amsaidie huyo Dada wa kazi....hakika serikali itazame vyema hili kundi.... Linanyanyaswa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…