Nahisi "house girl" anayedaiwa kuua mtoto ni muhanga

Watanzania hawajui nini maana ya msaidizi wa kazi. Mnamtreat kama punda kwanini asiwapige teke?

Hata kama house girl akikutwa na kesi lakini bado haiondoi uhalisia kuwa kuna visababishi ambavyo inawezekana familia ni chanzo.
Lkn Kwa maelekezo ya Mama wa Mtoto msichana wa kazi alikuwa mgeni,hivyo sidhani kama alikosana naye Kwa kipindi kifupi hivyo.
 
Hapo kweli ni mashaka Maana msichana mwenyewe ni mgeni na ameletwa na mtu ambaye Mama wa Mtoto anamfahamu, hapo kweli ipo kazi kweli. Mungu awasaidie Vyombo vyetu vya usalama wajue chanzo Cha tatizo.
 
Ndio Mkuu
 
House girl atakaa sana magereza akisubr tpf kufanya kazi ,Amin Amin nakuambia ataozea jela hakuna Cha maana hapo kweny uchunguz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…