Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

wazaz ndio mungu wa pili hapa duniani ,kuna mahala unakosea jitafakari,labda nimambo ya kiroho yapo hapo katikati sometimes bhana kuna watu wanamazabau nyie ndizo zinaharibu kila kitu.
 
Mtoto wa kiume kulelewa bila ya baba ni tatizo kubwa sana sababu hatojua jinsi ya kudeal hata na mwanamke ikiwemo mama yake. Jinsi ya ku-dominate, kupambana, ku-compete na wanaume wenzake. Jinsi ya ku-control hisia na kutumia akili kutatua changamoto.

Lack of father figures na masculine role models ni tatizo lililoanza hivi karibuni hasa kwa watoto wa 2000, wanaita gen z na litaanza kulitafuna taifa soon.

Baba yako yuko wapi? That's the problem.
 
Ukishaona unagombana na mzazi bila sababu ya msingi tena Mama kijana una shida mahali jitafakari ujirekebishe usije ukapata laana.
Kwa haraka haraka inaonekana una dharau na kiburi
 
Mama wengine jau analeta ugomvi kama mtu na mpenzi wake
 
Huenda wewe nà mzazi wako mnapendana ila kama ni wapare basi mnafanya ugomvi sababu wapare mnapenda ugomvi kuliko kitu chochote. Gombaneni tuu mtekeleze mila.
 
Wewe boya, nijibu haya maswali. Anayekuhudumia mahitaji yako ni nani??? Unaamini kwamba awaye yeyote yule haijalishi ana status gani lazima awe chini ya mzazi?.
Sasa ni hvi wewe una kiburi na dharau kifupi hutaki kumskiliza mzazi na kuwa chini yake ilihali we ungali mtoto. Na cha kushangaza umesema huyo ndo mzazi pekee uliyebaki Naye what if naye akaondoka mkiwa katika hali hii ya kutoelewana hutokuja kujutia maisha yako yote wewe?.

Hapa duniani hakuna mtu asiye na mtu juu yake haijalishi una cheo gani na una pesa ngapi ila kuna yule mtu au watu akisema No basi unaufyata.

Sasa wewe mpuuzi hebu haraka sana kaa chini ujitafakari upya ujitambue vizuri wewe ni nani hapa duniani na ni kina nani wako nyuma yako kuhakikisha unafika mbele huko unakokwenda, bila shaka mama yako ni namba moja. Kubali kuwa chini na kutii kila aina ya matakwa na maelekezo kutoka kwa mzazi wako takataka wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…