Nahisi kama nimeingizwa chaka

Unaishi nae? Si unaliona tumbo? Kama hulioni basi mchanga wa macho...
 
Hapo usiumize kichwa sana, kwakua Mungu amekupangia hivo basi ulee mtoto kama wako tuu hata kama hatokuwa wako, huwezi jua ndo ikawa baraka yako
 

Money heist siku zote hii ni team ya ushindi endelea kupambana kubaini ukweli.....
 
mi nilijua kazaa kabla ya muda, subiri mtoto azaliwe ulee hicho kiumbe cha Mungu
 
Ukisikiliza sana maoni ya wadau humu ndani unaweza patwa na msongo wa mawazo, kuna cases huwa zinatokea mimba inapitiliza wiki 37.
Nitakupa mfano wangu mimi binafsi. Kwetu tupo 4, na kwa bahati mbaya au nzuri wote tumezaliwa zaidi ya miezi 9, mimi ndo funga kazi mama anasema nilizaliwa miezi 12. Kaka zangu miezi 11 na wa mwisho kabisa miezi 10. Na ukiangalia wajihi wetu unamuona kabisa mzee huyu hapa, carbon-copy.
 
Shida angewahi mkuu kama ni miezi kumi acha papara kuna mawili, pengine alikwambia ni mjamzito hakuwa mjamzito ila baada ya kumpa ushirikiano akaibeba, na pengine kapitiliza miezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…