Nahisi kama nimepigwa Aliexpress

mimi walinipigia kabla hata ya muda waliokadiria mzigo kuupokea
 
Usi watishe AliExpress kutotumia STORE yao kwa oda kama hii.pia jifunze kitu kabla ya kufanya sawa.itakusaidia baadae.




All the best!!
Niwatishe Mimi kama Nani?? Store zipo nying Sana Kwan NI lazima kutumia Yao? Sio kwamba Mimi nikiacha nitawaaathiri kwa lolote Mimi sio kitu kwao, Mimi natafuta huduma nzurri tuu, mbona kama Una ubongo WA panzi mkuu huelewi kabisa
 
Ukiwafuata ofisini kwao watakupatia.
 
Mzigo kama umetumia njia ya speedup wanamawakala wake ambapo ukifika tu kwa wakala unaokuwa delivered ww unatakiwa umtafute wakala wa sehemu ulipo ukauchukue
Wakala Huwa yeye ndo anamtafuta mteja ukashafika ofisini kwao na kuanza kuwapelekea wateja huyo anatakiwa kusubiri
 
Nje ya mada kidogo.

Vp naeza pata maelezo kidogo ya namna ya kufanya manunuzi ya bidhaa kupitia mtandao wa Ebay.

Shukrani.
 
Bora kuchelewa kuliko kukosa kabisaaa Mimi Huwa nnatumia posta na mzigo haujawahi kufika mwezi bila kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…