Nahisi kama nimepigwa Aliexpress

Nahisi kama nimepigwa Aliexpress

Posta huwa wako slow inaweza pita muda mpaka kukupigia ila hujapigwa. mimi niliwahi safirisha from aliexpress vitu vinaonyesha vimefika ikapita hata mwezi ndo eti posta wananipgia nikachukue. hata shida navyo ilikuwa ishaisha sikwenda maana kwanza nilikuwa nimesafiri.
mimi walinipigia kabla hata ya muda waliokadiria mzigo kuupokea
 
Usi watishe AliExpress kutotumia STORE yao kwa oda kama hii.pia jifunze kitu kabla ya kufanya sawa.itakusaidia baadae.




All the best!!
Niwatishe Mimi kama Nani?? Store zipo nying Sana Kwan NI lazima kutumia Yao? Sio kwamba Mimi nikiacha nitawaaathiri kwa lolote Mimi sio kitu kwao, Mimi natafuta huduma nzurri tuu, mbona kama Una ubongo WA panzi mkuu huelewi kabisa
 
Nilimpigiwa simu na mawakala wa speedaf ila nilikua mbal, sikupokea simu Yao, hawakunitafuta tena na mzigo Hadi Leo umepotea, speedaf niwaizi na matapeli Bora walivyokua wanaipeleka posta, kwasasa situmii tena AliExpress kwasababu ya hawa matapeli speedaf, kwasasa nitarud eBay
Ukiwafuata ofisini kwao watakupatia.
 
Mzigo kama umetumia njia ya speedup wanamawakala wake ambapo ukifika tu kwa wakala unaokuwa delivered ww unatakiwa umtafute wakala wa sehemu ulipo ukauchukue
Wakala Huwa yeye ndo anamtafuta mteja ukashafika ofisini kwao na kuanza kuwapelekea wateja huyo anatakiwa kusubiri
 
Nje ya mada kidogo.

Vp naeza pata maelezo kidogo ya namna ya kufanya manunuzi ya bidhaa kupitia mtandao wa Ebay.

Shukrani.
 
Posta huwa wako slow inaweza pita muda mpaka kukupigia ila hujapigwa. mimi niliwahi safirisha from aliexpress vitu vinaonyesha vimefika ikapita hata mwezi ndo eti posta wananipgia nikachukue. hata shida navyo ilikuwa ishaisha sikwenda maana kwanza nilikuwa nimesafiri.
Bora kuchelewa kuliko kukosa kabisaaa Mimi Huwa nnatumia posta na mzigo haujawahi kufika mwezi bila kufika
 
KABLA YA KUNUNUA ONGEA NA MUUZAJI MPE ADDRESS ZA WAPOKEAJI HATUME MZIGO WAKO HAPO CHINA.MBONA WAPO WENGI MAKAMPUNI
GVmaFWbbgAAqkQ4.jpg
 
Back
Top Bottom