Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
- Thread starter
- #21
mimi walinipigia kabla hata ya muda waliokadiria mzigo kuupokeaPosta huwa wako slow inaweza pita muda mpaka kukupigia ila hujapigwa. mimi niliwahi safirisha from aliexpress vitu vinaonyesha vimefika ikapita hata mwezi ndo eti posta wananipgia nikachukue. hata shida navyo ilikuwa ishaisha sikwenda maana kwanza nilikuwa nimesafiri.