Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

Tuachane na mada ya mtoto.

Embu tueleze wewe na mkeo mnaishije? Kuna viashiria vyovyote vya usaliti ulivyowahi kuviona kabla hajabeba ujauzito? Je wewe ni muaminifu kwake? Huna makandokando?

Kwa sababu wakati mwingine wewe kutokuwa mwaminifu kunaweza kukuathiri hata wewe mwenyewe kisaikolojia, ukawa unahisi na mwenzio naye atakua kama wewe ndio maana unahangaika kumtafutia vijisababu vya usaliti hata kama havipo.

So relax. Take care of the kid. You may not be his Father, but he will always be your Son.
 
Angalia na miguu.Lakini Bwasheh shida nini,baba ni social reponsibility tu siyo lazima biological.Kama Naseeb na mzee Abdul.
 
Unaandika kama sifa eeh?Isanga Kuna kitanzi,Isanga hakuna JF ukadhani Kuna siku ukishafanya huo upuuzi utarudi kutusimulia huo ushujaa wako....Tulia think wisely ,kama unafanya DNA hakikisha una Moyo wa kupokea majibu yeyote either pos or neg...
 
sasa mwanang steve haya mambo si ungeyamaliza tu nyumban kuliko kuyaleta huku?
 
Kuchapiwa mbona kawaida? Ushaambiwa kitanda hakizai haramu, tuliza mizuka yako usilete fujo. Kama mkeo alichepuka akaingiziwa kete vunga na lea huyo mtoto ni wako kazaliwa kwenye boma lako. Ila msela aliyetumbukiza kete atakuwa anajisifu kuwa beberu lililoingia bomani mwa mtu na kufanya yake huku likijua la mtoto hapo na mama wa mtoto anajua mchongo mzima, ni siri yake
 
Rangi anaweza chukua ata ya kwenu/kwao mke
Mama yako au yake
Baba yako au yake
Bibi,babu yako yake

Enjoy life ongeza supu kwa mama
 
Mkuu humu kuna bandiko linaonesha jinsi ya kumgundua mtoto kama ni wako au sio wako ..litafute kisha lifanyie kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…