Nahisi mke wangu anachepuka

Nikamkuta anaangalia Tamthilia Kumwambia Abandike maji ya kuoga akajibu Staki kumuulza kwann Anasema ningemtaarif kabla sjafika home.
Afu sikuhiz mbona ni suala LA kawaida sana,mi nadhan tushauriane tu wadada tunapochepuka tusisahau majukumu yetu juu ya waume zetu,kama wao wafanyavyo wanachepuka na majukumu wanatimiza.Angebandika tu maji ya kuoga
to yeye tazama hayo maneno mekundu hapo, nahisi mleta mada hakutumia polite language, nilitarajia angesema naomba ubandike maji ya kuoga, huenda binti wa watu angeinuka, inaonekana mleta mada anatumia zaidi lugha ya kanda maalumu na huenda hiyo inamkwaza mwenzake.

Lakini pili unapofanya jambo ni busara kuacha akiba ya kesho, ati hata kama ni wewe, kila siku dakika 40+, sasa kesho hizo nguvu mwenzake atazitoa wapi?
 
Mwachee mtoto wa Endelea Kuuza BARAfu zako broo demu analiqa huku na huku Huyoo anakusikiliziaa weee anakuona Mchaga ulie chelewa!!!!
 
Sijakuelewa
 
Afu sikuhiz mbona ni suala LA kawaida sana,mi nadhan tushauriane tu wadada tunapochepuka tusisahau majukumu yetu juu ya waume zetu,kama wao wafanyavyo wanachepuka na majukumu wanatimiza.Angebandika tu maji ya kuoga
Ugumu ndio huwa unaanzia hapa. Mwanamke akichepuka, anabadili direction ya tension yake kwa asilimia kadhaa, na kadri muda unavyokwenda anaweza badili kwa asilimia zote.
 

Nachemsha kwa miaka 12 sasa!
 
Acha kbs mzee baba ..mwambie mwanaume mwenzenu!...ila mostly ukiona mwanamke wako hatak sex na haumwi jua huna maajabu! Anaona michosho tu! Liwekeni hilo akilini! Mwanamume mjuzi hata kama uko period unajilaumu why niko period[emoji3062]
Comment imenisisimua, shikamoo dada[emoji23][emoji23]
 
Wewe chukulia poa ila yale maswala kila wakati anasema amechoka na kukupiga vidate ujue kuna anaemchosha huko nje. Tena anapewa mapigo ya uhakika ambayo huyawezi kiasi cha kuonekana wewe ni bonge la boya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…