Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Nikamkuta anaangalia Tamthilia Kumwambia Abandike maji ya kuoga akajibu Staki kumuulza kwann Anasema ningemtaarif kabla sjafika home.
to yeye tazama hayo maneno mekundu hapo, nahisi mleta mada hakutumia polite language, nilitarajia angesema naomba ubandike maji ya kuoga, huenda binti wa watu angeinuka, inaonekana mleta mada anatumia zaidi lugha ya kanda maalumu na huenda hiyo inamkwaza mwenzake.Afu sikuhiz mbona ni suala LA kawaida sana,mi nadhan tushauriane tu wadada tunapochepuka tusisahau majukumu yetu juu ya waume zetu,kama wao wafanyavyo wanachepuka na majukumu wanatimiza.Angebandika tu maji ya kuoga
Lakini pili unapofanya jambo ni busara kuacha akiba ya kesho, ati hata kama ni wewe, kila siku dakika 40+, sasa kesho hizo nguvu mwenzake atazitoa wapi?