Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kinywa husema kilicho moyoni lakini 🤔Sawa nimekuelewa bro...tunaandika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinywa husema kilicho moyoni lakini 🤔Sawa nimekuelewa bro...tunaandika tu
😂😂😂Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
SawasawaKinywa husema kilicho moyoni lakini 🤔
Wahehe bana 😂😂
Jinyonge mkuu.
Mwanaume hasumbukii kupendwa bali kuheshimiwa.
Nikupe jibu hakupendi ,maana safari zina mambo mengi yeye hana muda wa kukujulia hali siyo mtu mzuri.ana roho mbayaHuyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Ndioo mwaya usioe mtu ambaye haendani nawewe sijamaliza kusema ona huyu analia ,mfano usioe mtoto wakishua na wewe huna hata robo yaushuwa utaishia kuwa na kisukari au presha.Haya mambo bana na hawa viumbe acha nikwambie mawili matatu ujitathmini mkuu
1)ikiwa wewe Huwa haufanyi hivyo usitarajie mwenzio atakufanyia , yaani usihisi mapenzi ni wajibu wa mke kuyaonesha kwako tu hata wewe pata nae muda ukiwa kazini mpigie umeshindaje uko poa I miss you nyingi WhatsApp makopa kibao atahisi una mjali hivyo na yeye atakutafuta. Mfanye akutafute kama hujamtafta
2) penda kumfanyia vitu anapenda vizawadi vya supprize mfanye ahisi uwepo wako ni muhimu usipokuwepo ahisi kukumiss. Mlee yes nasema mlee kwa maana Kuna vitu mkataze Kuna vitu mkubalie
NB; hakikisha umeoa type yako kama umeoa kwa kulazimisha hayo ukifanya ni kusubiri meli uwanja wa ndege niliona thread ya Unique Flower akisema oa mtu wa type yako hii Ina vigezo vingi example hobby, feature n.k
Amuonyeshe anataka hitaji Hilo huenda mkewe hajui hivyoopunguza kutafuta attention yake ndo maana unaumia nawe kuwa mkavu au mgumu usijali sms wala call zake kama wanavyofanyiwa wenzio.
Hii ya kuoa wa kishua mtoto anataka accommodation laki wakati wewe unatumia elfu 20 hii inaua wengi sana vizuri tutafte saizi yetu , ni kwel Ranger nzuri kuliko IST ila huna uwezo kubali yaishe Baki na IST 😅Ndioo mwaya usioe mtu ambaye haendani nawewe sijamaliza kusema ona huyu analia ,mfano usioe mtoto wakishua na wewe huna hata robo yaushuwa utaishia kuwa na kisukari au presha.
Yes,penda wahali Yako kunawarembo wanataka vitu vya wastani tu basi watafute waoHii ya kuoa wa kishua mtoto anataka accommodation laki wakati wewe unatumia elfu 20 hii inaua wengi sana vizuri tutafte saizi yetu , ni kwenye Ranger nzuri kuliko IST ila huna uwezo kubali yaishe Baki na IST 😅
Asipoelewa hili wazo ndo basi tena.Huyu Mkeo kashakujua wewe ni msaliti na ni Mla Mbususu, So ni dhahiri Mwanamke kashajishukurria Mungu kuhusu wewe na furaha yake imebaki kwa hao watoto wake mliozaa na ndio maana anawapost[emoji23]
Hilo ndiyo jibuWewe weka picha ya kwako na watoto wako uandike my courage au my future hahaha[emoji13][emoji38][emoji38][emoji174]
Hilo nalo kweli, ukute alishamua kujikatia tamaa sasa jamaa kaona wenzie wapo busy na wake zao ha ha haUkute wewe hujawahi kumpigia simu halafu unataka yeye akupigie. Jenga mazoea kitu unachopenda
Mara nyingi watu wasio wajibika ndiyo huwa wakwanza kulalamika hawajafanyia vitu vizuri, sasa unakuta mtu kashinda kazini kafika saa 1/nyumbani huyo na laptop yake hana muda hata wakuongea na mkewe utazani kaacha Dada wa kazi hivi unategemea atarudisha nini jitu linaondoka asubuhi kama zuzu hata kumkiss kidogo anaondoka kama vile kaacha mlinzi, mke naye anajisemea we Ng'ombe nenda ufike salama huko.Haya mambo bana na hawa viumbe acha nikwambie mawili matatu ujitathmini mkuu