Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani kila ukiangalia simu yako huoni hata missed call, hata sms tu. Mpaka unahisi simu ni mbovu.
Maisha haya hayapo sawa kabisa , wengine ukimpigia pigia anawaka ibidi ujikunyate, wengine wanataka kupigiwa simu daa aise!!!Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
😅😂 Na yeye anaanza kutafta wa kumpa attention , afu usiombe apate lijamaa linamtext muda wote ni utakoma hang'atuki majamaa ya pembeni ya hovyo sana hujifanya yanajua kujaliMara nyingi watu wasio wajibika ndiyo huwa wakwanza kulalamika hawajafanyia vitu vizuri, sasa unakuta mtu kashinda kazini kafika saa 1/nyumbani huyo na laptop yake hana muda hata wakuongea na mkewe utazani kaacha Dada wa kazi hivi unategemea atarudisha nini jitu linaondoka asubuhi kama zuzu hata kumkiss kidogo anaondoka kama vile kaacha mlinzi, mke naye anajisemea we Ng'ombe nenda ufike salama huko.
Yanazibaga mapengo hayo mpaka unasahau kama uliwahi kuwa na pengo, sasa wanaume wakijidai na mwanamke mpumbafu huivunja ndoa yake mwenyewe wanajisahau, wengi hawavunji bali wanakula kama panya anang'ata na kupuliza[emoji28][emoji23] Na yeye anaanza kutafta wa kumpa attention , afu usiombe apate lijamaa linamtext muda wote ni utakoma hang'atuki majamaa ya pembeni ya hovyo sana hujifanya yanajua kujali
💯🤝Kuna mapenzi kama hayamwagiliwi mnabaki kutazamana
Mwagilia yafufue
Tabia ya kununiana au kuwekeana vinyongo na visasi haijawahi kuiacha ndoa salama.Kuna mapenzi kama hayamwagiliwi mnabaki kutazamana
Mwagilia yafufue
Tabia ya kununiana au kuwekeana vinyongo na visasi haijawahi kuiacha ndoa salama.
Penzi kwenye ndoa likiendeshwa kila mtu mshupavu kinachofuata ni kuvumilia maisha ya ndoa badala ya kufurahia ndoaMmoja anatakiwa kujishusha mkiweka viburi mnaharibu kila kitu
Na ukimpata anayekupenda au mnapendana wazazi nao wanaona nafasi yao imepotea kwanini iwe hivyo [emoji25]Mkeo hakupend mzee we mbaka unafika yupo kimya Duuh me wife nikisafiri akiona kimya tu anachanganyikiwa sasa apige simu nisipokee na text nisimjibu presha inampandaga kabsa anaanza kupiga kwa rafikizangu ambao nipo close nao sana nakuanza kuwasumbua mbaka atanipata
Ndomana wazazi wanatuambia oa mtu anaekupenda wewe ona sasa unaangaika na attention ya mwanamke ye ndokwanza yupo online anaweka status polee sana mkuu
Sema kama kuna tatizo kaa na mkeo myamalize hayo sio maisha mnayoishi my advice
Na ukimpata anayekupenda au mnapendana wazazi nao wanaona nafasi yao imepotea kwanini iwe hivyo [emoji25]
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Define who is the man and who is the woman in that relationship, ukipata jibu ndio ulete hiyo mada sasa. Sawa mkuu!Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.
Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.
Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.
Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.
Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Mnaanza kuanzisha drama, sasa tusianze kuita wanawake ni dramatic.M-bip kwa siri halafu akikupigie ongea naye kwa bahshasha.
Kama asipopiga, basi mtumie ujumbe wa kupata ajali ya uongo. Mwambie uko hospitali, halafu kiuno chako kimepoteza network na maeneo mengine ya mwili!
Nakuhakikishia faster atakupigia ili kujiridhisha kama hiyo taarifa ni ya kweli, au la.
Ikishindikana kabisa, basi mtumie muamala wa hela, halafu subiria majibu ndani ya dakika chache.
Ahahahaa wewe c ulikwenda[emoji10] nae msibani mkeo akawa busy na ma binamu zake Hadi ukaondoka kabla ya mazishi[emoji1787][emoji1787]Ila huwa inauma,inafikia point unajiona uko single tu.
Hpn uko wrong Sana mkeo Kam unamfanya hvyo unakozeaaInawezekana na yeye anawaza kua haumpendi.
Maana wenzake waume zao wakiwa wamesafiri hua kila destination points wanapigiwa simu kusimuliwa wamefikia wapi na kujuzwa vivutio wanavyoona ili kuangalia kama next vacation wataenda wapi panapovutia.
Lakini ukimya wako bila kumtaarifu chochote mpaka unafika safari yako unampa wasiwasi na kuhisi huenda haumpendi[emoji848]
My take: Mfanye mke wako kua rafiki na sio mtunza nyumba yako!
Kuna wazazi huwa wagumu kukubali kama mtoto wao kakua anatakiwa kujipangia maisha yake, ukifuatilia migogoro mingi ya ndoa familia zinachangia sana, mtu anakuwa na zaidi hata ya 40 lakini bado anasikiliza tu dada twake, halafu mwanamme mzima duu.Hapo sasa wazazi wanakosea sababu ndoa teali ni maisha ya watu wa2 hayapaswi kuingiliwa kabsa wazazi tunawapenda sana lakini kunamaisha ya ndoa nayo yananafasiyake