the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
Huyu jamaa nae sura yake inatrend sana mitandaoni, natamani kumfahamu pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo zama zake zilishakwisha zamani tu.Huyu jamaa nae sura yake inatrend sana mitandaoni, natamani kumfahamu piaView attachment 1676568
Zamu yake ishapitaHuyu jamaa nae sura yake inatrend sana mitandaoni, natamani kumfahamu piaView attachment 1676568
Pozi zake hizo
Utasikia “kwani nelson ndio nani tena jamani?”
Huyu jamaa nae sura yake inatrend sana mitandaoni, natamani kumfahamu piaView attachment 1676568
Halafu nimeshaanza kuelewa kwanini katrend 😂😂😂😂😂😂Schoo fees ya nini tena jamani na mimi najua nadaiwa ada tu?😂😂😂
Hahahaa, shukran mkuuHuyu mnigeria alipigwa hela alizotumwa na wazazi wake kununua kitu
Inasemekana na wale jamaa wa karata tatu..
Alipoanza kulia ndo watu wakampiga picha zikaanza Ku trend..
Cheki hilo pozi na hiyo sura alivyoikunja dizain kama kuna kitu anashangaa hivi..na ndio hapo wajuba wakaona wa create meme tofauti.Halafu nimeshaanza kuelewa kwanini katrend 😂😂😂😂😂😂
Ni mwafrika anayejua kushangaa kuliki waafrika wote chini ya Jangwa la Sahara.Kwani huyo Nelson ni nani tena jamani
Ni Nelson mkuuKwani huyo Nelson ni nani tena jamani