Nahisi mshawahi kumuona Nelson Ntombela Raia wa Afrika Kusini kwenye mitandao ya kijamii?

Huyu si ndo yule mwamba aliyekua akiuliza kama chama jr na miquissone watakuepo ?? ..
 
Huyu mnigeria alipigwa hela alizotumwa na wazazi wake kununua kitu
Inasemekana na wale jamaa wa karata tatu..
Alipoanza kulia ndo watu wakampiga picha zikaanza Ku trend..
Hahahaa, shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…