Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Kwa uandishi huu huyo mumeo apewe tuzo.
Inaonyesha una mdomo mrefu dada, hebu chunguza huenda tatizo ni wewe

Note: sijakukshfu nimesema huenda
 
Mungu asaidie pia kaka uttoh amalize matatizo yake mwenyewe maana anataka ku_team na wewe ,

Soma KUTOKA 4:24_26 ,,,,utatambua nafasi Yako kwa Mumeo,,,Muokoe Mumeo mama,,,,


Wewe mbafiki unayehukumu kwamba nina matatizo na kuleta neno la Mungu, Kuna Kingine kifungu cha Biblia hiyo hiyo Kinachosema usihukumu. Peleka upumbavu wako huko.
 
Ila kuishi na Mwanamke muda wote ni kazi,nyie mliooa mnawezaje?nikikaa nae wiki tu nishamchoka

Ndoa ni kazi ngumu 🙆
 
Hii phase nadhani kila kidume huwa anaipitia sema wengine huwa wanaificha kimtindo
 
Hapo kwenye kuacha kazi ndipo ulipobugi step. Ulipaswa ufunguliwe biashara mbadala wa ile kazi iliyokuwa unaifanya.... Slowly.... Unapata uzoefu na biashara inakua mdogo mdogo.
 
Bila shaka huu uzi ulikuwa ni changamsha genge...

ID mpya imejoin na kumwaga nyongo, na ikapotea kurudia ID ya siku zote...
 
Nawapendaga wanawake kama ninyi
Niwapelekee motroo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…