KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,100
Wanaume wengi wanaosea wanadhani kumridhisha ke ni kuingiza dushe na kupump muda mrefu, na ndio maana kesi za wanawake kutofika kileleni/mshindo ni nyingiJinsi ulivyoongea ni kama vile huwa unashuhudia ninachokifanyaga kabla ya kwenda Sudan kusini.
Hii ikoje mkuu nifafanulie namie niagize
I don't second that idea!Shukran mkuu Kwa ushauri nadhani naitafuta leo hiyo
Shukran Sana Kwa ushauriKama unakitambi punguza,kula vizuri na kama mnywaji kunywa kiasi mfn bia 4 ,pia jitahidi umchezee mwenzio mpaka afike kileleni ndio wewe uanze tendo
Dawa ndio zinakuharibu pia saikolojia. Hii kitu ya kupiga shoo inatakiwa uiozee kama kitu cha kawaida. Sio unafanya maandalizi kibao kuwa oooh natakiwa nimridhisha nisipomridhisha sijui itakuwaje ni kujipa presha.Habarini wakuu!
Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu.Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae nimefunga ndoa na ndoa ndiyo Kwanza ina miezi sita.
Tatizo langu liko kwenye upande wa nguvu za kiume.Nashindwa kabisa kumridhisha mwenzangu sababu ni kwamba siwezi kurudia tendo Kwa mara ya pili na hata hicho kimoja yaani ni haraka kama kuku hata dakika tatu haziishi.
Nimejaribu dawa mbali mbali pasipo mafanikio yoyote.Najua kabisa namtesa mke wangu lakini nimeshndwa namna.
Nimekuja kwenu wanajamvi mpate kunishauri by the way mazoezi na vyakula nazingatia sana mimi sio mtu wa kunywa pombe wala vinywaji kama soda na juice za viwandani sio mpenzi.
Why imetokea hivyo??? Ulipiga sana nyeto au ndivyo ulivyozaliwa????
Mkuu jaribu hii kitu naamini itakusaidia sana.
Chukua Ngogwe za kienyeji 6 zikate katikati ili kupata vipande 12, changanya na maji vikombe viwili kisha chemsha bila ya kuweka kitu chochote kwa muda wa dakika 10 bila kufunika.
Kula vipande vyote 12 ukishushia na supu yake, vyote vikiwa vya moto bado na tumia mara moja kwa siku kwa muda wa siku tano.
Pia jaribu kutumia condom wakati wa kusex naye.
Hop utafanikiwa na ninakutakia kila la kheri
Nyanya chungu mkuuMkuu Ngogwe ndio nini
Nyanya chungu mkuu
Ukifata haya nayokwambia utapona...wewe usiulize y wew fata tuuHabarini wakuu!
Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya hili linalonikuta ndugu yenu.Najua kutakuwa na kejeli na dhihaka lakini yote nitashukuru.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ambae nimefunga ndoa na ndoa ndiyo Kwanza ina miezi sita.
Tatizo langu liko kwenye upande wa nguvu za kiume.Nashindwa kabisa kumridhisha mwenzangu sababu ni kwamba siwezi kurudia tendo Kwa mara ya pili na hata hicho kimoja yaani ni haraka kama kuku hata dakika tatu haziishi.
Nimejaribu dawa mbali mbali pasipo mafanikio yoyote.Najua kabisa namtesa mke wangu lakini nimeshndwa namna.
Nimekuja kwenu wanajamvi mpate kunishauri by the way mazoezi na vyakula nazingatia sana mimi sio mtu wa kunywa pombe wala vinywaji kama soda na juice za viwandani sio mpenzi.
Mkuu tendo la ndoa huongozwa na hisia. Naamini tatizo halitokuisha kama utaendelea kujiona dhaifu mbele ya mkeo.
Mosi jipe muda wa kutosha wa kumuandaa mkeo, Usiwe na mawazo hasi kuhusu hali yako.
Fanya mazoezi kweli maana isije kuwa unachezacheza ukasema unafanya mazoezi.
Ni vyema wa wakati wa tendo lenyewe ukawa unafikiria vitu vingine kabisa hii itasaidis kukufanya uchelewe kukojoa.
Muone Psychologist Akusaidie.