Nahisi nimeathirika na VVU

Kapime bro, alafu ufafanuzi hivi hiyo tripple 6 means..
 
Hapa hakuna ushauri zaidi ya kupima maana ndio yenye uhakika.....angalizo usiyakimbie majibu kuwa ngangari japo ngumu
 
Nijuavyo mimi malaya sio wote wenye ukimwi, na wale malaya wazoefu huwa wako makini sana, na nijuavyo huwa hawakubali kabisa kugegedwa kavu, na wengine ndomu anakuvalisha mwenyewe kwa uhakika zaidi. Kuna wanaume wao zao ni kugegeda malaya tuu na hamna ngoma wala nini, by the way ukimwi unasambazwa sana mitaani na wale wale tunaowaamini, kuliko hata hao malaya. Sijajua bado huyo imekuaje haswa mpaka kakubali kavu
 
Huwezi pata ngoma kwa goli kako kamoja kwenda kafanye shughuli acha kujistress kjiana
 
Yaliwahi kunikuta hayo kaka usiombe kabisa nakushauri ukapime ili kuondoa huo wasiwasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…