clever ali
New Member
- Oct 19, 2016
- 2
- 0
Nenda tu kapime brother usjipe mawazo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuKapime ndugu yawezekana ukawa upo vzr
Maana yake nini mkuu?Hahaha ulikutana na nyangumi jangwanj
Kapime bro, alafu ufafanuzi hivi hiyo tripple 6 means..Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari.
Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flani hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata.
Mimi nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo (mule mule ndani lakini)
Sasa bana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye uume wangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake.
Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu.
Sasa bana wakuu, utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani.
Bei yake alinichaji elfu 15
elfu 5 gesti, 10 ya kwake
Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta sana yani kwanini nilifanya vile. Roho inaaniuma yani nimenunua UKIMWI kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote.
Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani.
NB: Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
Anti christKapime bro, alafu ufafanuzi hivi hiyo tripple 6 means..
Ok so your anti christAnti christ
una haribu uziOk so your anti christ
ufundi upi mkuu ?Ulifanya ufundi?
Toa ushauriDakika kumi ulidhani mkeo?! Ebo!?
Ulisugua sana? ulihisi kuchubuka?Toa ushauri