Nahisi nimeathirika na VVU

Nahisi nimeathirika na VVU

Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari.

Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flani hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata.

Mimi nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo (mule mule ndani lakini)

Sasa bana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye uume wangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake.

Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu.

Sasa bana wakuu, utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani.

Bei yake alinichaji elfu 15

elfu 5 gesti, 10 ya kwake

Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta sana yani kwanini nilifanya vile. Roho inaaniuma yani nimenunua UKIMWI kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote.

Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani.

NB: Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
Kapime bro, alafu ufafanuzi hivi hiyo tripple 6 means..
 
Hapa hakuna ushauri zaidi ya kupima maana ndio yenye uhakika.....angalizo usiyakimbie majibu kuwa ngangari japo ngumu
 
Nijuavyo mimi malaya sio wote wenye ukimwi, na wale malaya wazoefu huwa wako makini sana, na nijuavyo huwa hawakubali kabisa kugegedwa kavu, na wengine ndomu anakuvalisha mwenyewe kwa uhakika zaidi. Kuna wanaume wao zao ni kugegeda malaya tuu na hamna ngoma wala nini, by the way ukimwi unasambazwa sana mitaani na wale wale tunaowaamini, kuliko hata hao malaya. Sijajua bado huyo imekuaje haswa mpaka kakubali kavu
 
Huwezi pata ngoma kwa goli kako kamoja kwenda kafanye shughuli acha kujistress kjiana
 
Yaliwahi kunikuta hayo kaka usiombe kabisa nakushauri ukapime ili kuondoa huo wasiwasi
 
Back
Top Bottom