Sasa unacheki kila mara ya nini wakati huna tabia ya kukurupuka hovyo na kila mwanaume?Nenda kapime wangu hawa Malaya wa ambience wengi waathirika lakini daah ukimwi sio kitu kizuri aisee nashukuru Mungu mm najali afya yangu yani sikurupuki hovyo na kila mwanaume na pia nina mazoea ya kucheki afya yangu kila mara
Asante ms nnanaI feel you brother. Pole sana... Ila inabidi uwe jasiri na ukapime... Ili ujue muafaka... maana utakonda kwa msongo wa mawazo... haujui kama Huyo Dada kaukwaa au lah... May you find happiness , courage
and peace of mind within your heart.
Angalizo: Vijana wenzangu chezeni kwa step. If you can't use condom then abstain / be celibate. Majuto haya hua yanaumiza sana. A word is enough for the wise.
sawa miss chagga nimefurahi kuona uwepo wakonunu condom uwe unatembea nazo
Daaah watu mnajua kuchimbaa...ha ha pole kijana ila kapime kwanzaNijuzeni night club kali kuelekea XMASS
Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club
Napenda kushika shika makalio ya mademu na kubambiasijui kwa nini
Hivi kwa nini wanawake wakiwa wanacheza mziki lazima wachezeshe makalio yao?
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1156979/
Kwanini usiuziwe kirusi mkubwa?!
karibu tenasawa miss chagga nimefurahi kuona uwepo wako
jipe moyo nenda kapime ni vzr zaidi kama unawasiwasi...Naogopa mkuu
We unadhani UKIMWI unaupata kwa kufanya tendo la ndoa tu? Umesoma biology kweli? Rudi kasome ndo utaelewa mkuuSasa unacheki kila mara ya nini wakati huna tabia ya kukurupuka hovyo na kila mwanaume?
Inaenezwa kwa njia mbali mbali lkn ngono zembe ndio inaongoza hata hvyo sikukatiz kucheki afya yako mara kwa mara.We unadhani UKIMWI unaupata kwa kufanya tendo la ndoa tu? Umesoma biology kweli? Rudi kasome ndo utaelewa mkuu
Mkuu mm naijali sana afya yangu so huwa napima mara kwa Mara kwakuwa ukimwi sio mpka sexInaenezwa kwa njia mbali mbali lkn ngono zembe ndio inaongoza hata hvyo sikukatiz kucheki afya yako mara kwa mara.
Nicheki private nikutumieInaitwaje