Nahisi nimeathirika na VVU

Nahisi nimeathirika na VVU

Nenda kapime wangu hawa Malaya wa ambience wengi waathirika lakini daah ukimwi sio kitu kizuri aisee nashukuru Mungu mm najali afya yangu yani sikurupuki hovyo na kila mwanaume na pia nina mazoea ya kucheki afya yangu kila mara
Sasa unacheki kila mara ya nini wakati huna tabia ya kukurupuka hovyo na kila mwanaume?
 
I feel you brother. Pole sana... Ila inabidi uwe jasiri na ukapime... Ili ujue muafaka... maana utakonda kwa msongo wa mawazo... haujui kama Huyo Dada kaukwaa au lah... May you find happiness , courage
and peace of mind within your heart.

Angalizo: Vijana wenzangu chezeni kwa step. If you can't use condom then abstain / be celibate. Majuto haya hua yanaumiza sana. A word is enough for the wise.
Asante ms nnana
 
Ibirisi aliyelaaniwa anakuchezea,ndiyo maana unahangaika na starehe ili Hall ni mwanafunzi
 
Nahakika hukusugua sana hiyo papuchi kwa sababu tayari genye zilishakuwa karibu wakati mnachezacheza pale club hivyo ondoa wasiwasi, lkn ili uweze kujiamin zaidi nenda kapime ukikutwa uko poa usirudie tena uzembe ulioufanya, tafuta mmoja mwaminifu tulia naye acha kurukaruka.
 
Sasa unacheki kila mara ya nini wakati huna tabia ya kukurupuka hovyo na kila mwanaume?
We unadhani UKIMWI unaupata kwa kufanya tendo la ndoa tu? Umesoma biology kweli? Rudi kasome ndo utaelewa mkuu
 
We unadhani UKIMWI unaupata kwa kufanya tendo la ndoa tu? Umesoma biology kweli? Rudi kasome ndo utaelewa mkuu
Inaenezwa kwa njia mbali mbali lkn ngono zembe ndio inaongoza hata hvyo sikukatiz kucheki afya yako mara kwa mara.
 
Inaenezwa kwa njia mbali mbali lkn ngono zembe ndio inaongoza hata hvyo sikukatiz kucheki afya yako mara kwa mara.
Mkuu mm naijali sana afya yangu so huwa napima mara kwa Mara kwakuwa ukimwi sio mpka sex
 
Ukimwi ungekuwa unaambukizika kirahisi rahisi sijui ingekuaje?nawaza tu maana mh!
 
Pole ndugu me mwenzio nilishawahi kupatwa na mkasa wa hivyo,,,kwa dada flan hiv nilikutana nae facebook,,yule dada alikuwa ananisumbua sana mpaka nikapang tuonane,,akaja home tukafahamiana nikamgegeda akaondoka zake,,ndipo nikaanza kujiuliza kwann amekuwa mwepesi hivyo kunivulia chupi,,akili yang ikaniambia huyu dada atakuwa malaya,kwa sabab kama kanivulia chupi mm wa kwenye mtandao je anawavulia wangap,,,nikawa napata hofu kuwa atakuwa ana ukimwi na anausambaza kiivyo,,nilikonda sana,,nikawa nikiumwa tu najua ndio ukimwi ushaanza kaz,,alafu alikuwa na kauli ambazo zilikua zinAnitisha yan tulikuwa tukikaa pamoja nikikohoa ananiambie nenda kapime uanze doz mapema,,mara aniambie nikimuacha nitamtafuta tu,,bhas hizo kauli zilinitisa nilpokuwa nazikumbuka,,ilinichukua mwaka mzima nasikilizia afya yangu,,mpaka nikaenda kupima ndio nikawa na amani,,nakushauri tu nenda kapime na hao madada wa kudandia sio wazuri
 
Back
Top Bottom