Pole ndugu me mwenzio nilishawahi kupatwa na mkasa wa hivyo,,,kwa dada flan hiv nilikutana nae facebook,,yule dada alikuwa ananisumbua sana mpaka nikapang tuonane,,akaja home tukafahamiana nikamgegeda akaondoka zake,,ndipo nikaanza kujiuliza kwann amekuwa mwepesi hivyo kunivulia chupi,,akili yang ikaniambia huyu dada atakuwa malaya,kwa sabab kama kanivulia chupi mm wa kwenye mtandao je anawavulia wangap,,,nikawa napata hofu kuwa atakuwa ana ukimwi na anausambaza kiivyo,,nilikonda sana,,nikawa nikiumwa tu najua ndio ukimwi ushaanza kaz,,alafu alikuwa na kauli ambazo zilikua zinAnitisha yan tulikuwa tukikaa pamoja nikikohoa ananiambie nenda kapime uanze doz mapema,,mara aniambie nikimuacha nitamtafuta tu,,bhas hizo kauli zilinitisa nilpokuwa nazikumbuka,,ilinichukua mwaka mzima nasikilizia afya yangu,,mpaka nikaenda kupima ndio nikawa na amani,,nakushauri tu nenda kapime na hao madada wa kudandia sio wazuri