Nahisi nimeathirika na VVU

Nahisi nimeathirika na VVU

Ewaaaa kama umeshawaza kukubali kupima basi nami naunga mkono. Pia ni faida kwa maana kama ni mapema utafanyiwa "post exposure prophylaxis". Kila la kheri
 
Kapime kwanza upate uhakika, kama huna uhakika tafadhali usipanick
 
kwenye jamii tunaishi nao wanaoishi na maambukizi na waliokubali hali halisi na kuepuka mazingira yatakayowepelekea kuondoka mapema na wanapeta huwezi kudhan kama ana HIV
 
Suala la busara hapa ni kukubaliana na hali,kuwa tukio limetokea na matokeo yake yaweza kuwa umeambukizwa VVU au magonjwa ya ngono au hujapata maambukizi yoyote hivo busara inayotakiwa kutumika hapo mosi nenda hospitali kaeleze hiyo scenario madakatari watafanya uchunguzi wa awali kama hawataweza kubaini virusi vya ukimwi basi waatakuwahi kwa PEP baada ya miezi mitatu utarudi kwa vipimo tena hapo sasa kwa technologia yetu utapata uhakika

Muhimu kukumbuka hapa ni kwamba siku hizi ukimwi sio tatizo kubwa sana siku hizi kwa kuwa watu wanafikishaga hata 30 yrs wangali na nguvu zao wako vizuri tu usijistress we tulia endelea na majukumu yako ya kawaida.
 
Wakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari.

Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flani hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata.

Mimi nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo (mule mule ndani lakini)

Sasa bana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye uume wangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake.

Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu.

Sasa bana wakuu, utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani.

Bei yake alinichaji elfu 15

elfu 5 gesti, 10 ya kwake

Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta sana yani kwanini nilifanya vile. Roho inaaniuma yani nimenunua UKIMWI kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote.

Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani.

NB: Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
Kapime kwanza acha uoga wako!huhitaji ushaur unahitaji ukweli hapo,nenda kapime
 
Kumaliza utata wa kuwaza. Nenda tu kapime mkuu. Itakusaidia kuondokana na mawazo. Hata Kama umeathirika na HIV. Tambua sio mwishi wa kuishi.. Utatumia doze na maisha yataendelea Kama kawaida
 
Naogopa mkuu

Daaah utakuwa na UKIMWI tu mwanangu pole sana kwa jinsi hata maandishi yako yalivyo membamba bila shaka tayari wew Ni wamoto nakushauri usiende Hata kupima wew anza zako dawa tu moja kwa moja ! Maana hata hako Ka manzi uliko kataja nakajua sana hako wanasemaga tayari kalisha waka siku mingi . Pole sana mwana daah
 
It's much easier kupata VVU kwenye "vipimo"...kuliko kwenye kugonga malaya.

Za kuambiwa changanya na zako.

-Kaveli-
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ka mstali ka fi q haka...... Me binafsi hata iwe vp cwez pima ngoma aisee

"Njia pekee ya kukwepa ngoma ni kugoma kupima"

Haisaidii ndugu,kugoma kupima haibadilishi wewe kuwa negative,kujua mapema Ni vizuri kwani kinga yako itakua bado ipo juu,kwa sasa yeyote anayekutwa na maambukizi kulingana na tafiti za shirika la afya duniani(who) anashauriwa kuanza matumizi ya vidonge (arv),hii imeleta matokeo mazuri kwa waathirika baada ya tafiti
 
Back
Top Bottom