Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #201
ntaenda kakaYaliwahi kunikuta hayo kaka usiombe kabisa nakushauri ukapime ili kuondoa huo wasiwasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntaenda kakaYaliwahi kunikuta hayo kaka usiombe kabisa nakushauri ukapime ili kuondoa huo wasiwasi
Nakushauri nenda.ntaenda kaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ka mstali ka fi q haka...... Me binafsi hata iwe vp cwez pima ngoma aisee"Njia pekee ya kukwepa ngoma ni kugoma kupima"
Naunga mkono hoja"Njia pekee ya kukwepa ngoma ni kugoma kupima"
[emoji23][emoji23][emoji23]"Njia pekee ya kukwepa ngoma ni kugoma kupima"
Kapime kwanza acha uoga wako!huhitaji ushaur unahitaji ukweli hapo,nenda kapimeWakuu msaada wenu wa kimawazo tafadhari.
Juzi nilikuwa ambiance sasa bhana kwenye kucheza cheza mziki akaja msichana flani hivi akaniminya mkono halafu akatangulia mbele na kunipa ishara ya kumfata.
Mimi nilimpotezea lakini yule msichana akarudi tena na kunishika mkono na kunipeleka chobingo kidogo ambapo kuna kigiza giza kidogo (mule mule ndani lakini)
Sasa bana yule msichana ndani hakuvaa cha chupi wala nini alikuwa yupo mtupu kabisa akawa ananisugulia makalio yake kwenye uume wangu kisha anachukua mkono wangu na kunishikisha K yake.
Ila yote hayo sio kama alikuwa anafanya bure bure la hasha nilikuwa namnunulia bia ili azidi kunipa utamu.
Sasa bana wakuu, utamu uliponinogea nikaamua nimchukue yule binti ili tukamalizane nae kitandani.
Bei yake alinichaji elfu 15
elfu 5 gesti, 10 ya kwake
Lakini baada ya kumaliza kufanya naye nilijuta sana yani kwanini nilifanya vile. Roho inaaniuma yani nimenunua UKIMWI kwa elfu 15 na starehe ya dakika 10 inanitesa maisha yangu yote.
Msaada wa kimawazo tafadhari, nimekuwa mtu mwenye mfadhaiko mkubwa mpaka classmates wangu wanashangaa nilivyopoa kwa kuwa sio kawaida yangu na kuwaambia ukweli siwezi abadani asilani.
NB: Ushauri uwe wa kujenga sio dhihaka
Naogopa mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ka mstali ka fi q haka...... Me binafsi hata iwe vp cwez pima ngoma aisee
"Njia pekee ya kukwepa ngoma ni kugoma kupima"