sahii kabisa ye ajishushe kwa mda huu baada ya hapo aje atupe ushuhuda hapa ndoa yake imeimalikaMwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida. Kutokuwa na kamchepuko ndio udhaifu na utaishia kuolewa na mkeo. Kosa ni wewe kuacha ushahidi mwingi kwenye simu.
Usipanic. Mkeo sasa atazidisha mapenzi kwako baada ya mapatano na kugundua kwamba yupo na kidume na sio malaika wala kivulana. Ameshajua ana wapinzani na hivyo ataboresha sera.
mnanichanganya sasa nishike lipi..??Muombe msamaha yaishe,badilisha muenendo nae aone umechange kweli,kisha ujinga wako kama utaendelea tumia akili nyingi bila kuadhili majukumu home.
Daaah ni kweli mkuu. Ila ndo hvo namna sina , the truth has been revealed on the table. It's my faultNdoa sio ya kila mtu,hukutakiwa kua kwenye ndoa,una utoto mwingi,
Akili ya mtu haipimwi kwa umri bali kwa matendo yake,
Mkeo na watoto wako wamekula hasara kubwa sana kupata Baba kama wewe,
Wewe huwezi kubadilika,muache mkeo akaishi kwingine kwa amani halafu wewe endelea kugonga huko nje mpaka ukipate unachokitafuta,
Hukua umekomaa kiakili mpaka kua kwenye ndoa.
Ni bora akagongwe kwa kulipiza kisasi kwa sababu anajua kabisa na mm nimemcheat ila siyo ile mwanaume umenyooka huna makandokando yoyote ila wana wanajichapia tu, by the way hata kama wakichapa sawa tu as long as nitakuwa sijui.Hapo hadi sasa jiandae kisasi atatafuta mtu amgongee ...
Ni atakuwa anagongwa gongwa hovyo
Inshort kazi kwisha hata uombe msamaha gani
Mimi simu yangu huwa na password mbili moja kufungua simu .....ya pili kufungua application kama watsapp meseji za kawaida facebook na insta... yaani hadi kwenye gallery nimeweka makufuri
So akijua ya kwanza itabid ajue ya pili kazi ambayo ni ngumu
Ambacho wanaume hawajui wanafikiri wanawake husamehe mambo haya. Hata mkiwa pamoja kwa yaliyotokea hakuna msamaha kuna visasi.Kuhusu mtoto hliyezaa nje ya ndoa mueleze ukweli. ili uwe na amani kuliko kujiiba uje ugundulike tena .
Piga magoti .mbele yake Omba msamaha sana.
Sindikiza msamaha kwa zawadi kubwa yenye thamani na kumtoa auti na kumpelekea moto wa uhakika kuliko siku zote.
Fululiza kumpelekea moto haswa.
KISHA UNIPE MREJESHO.
Sasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!Kweli eeh, 🤠🤠afadhali umenitia moyo mkuu.
Kwanini ampigie magoti,,,,akiri tu kosa inatosha kisha a mute,na majukumu yake asipunguze,,,,akipewa haki yake ya ndoa afanye kwa kiwango chake,na mapenzi ampe kama kawaida....hapa dunian hujaja kujiumiza alooKuhusu mtoto hliyezaa nje ya ndoa mueleze ukweli. ili uwe na amani kuliko kujiiba uje ugundulike tena .
Piga magoti .mbele yake Omba msamaha sana.
Sindikiza msamaha kwa zawadi kubwa yenye thamani na kumtoa auti na kumpelekea moto wa uhakika kuliko siku zote.
Fululiza kumpelekea moto haswa.
KISHA UNIPE MREJESHO.
Sio kweli.Kweli eeh, 🤠🤠afadhali umenitia moyo mkuu.
Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida. Kutokuwa na kamchepuko ndio udhaifu na utaishia kuolewa na mkeo. Kosa ni wewe kuacha ushahidi mwingi kwenye simu.
Usipanic. Mkeo sasa atazidisha mapenzi kwako baada ya mapatano na kugundua kwamba yupo na kidume na sio malaika wala kivulana. Ameshajua ana wapinzani na hivyo ataboresha sera.