mwalisi
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 651
- 561
sahii kabisa ye ajishushe kwa mda huu baada ya hapo aje atupe ushuhuda hapa ndoa yake imeimalikaMwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida. Kutokuwa na kamchepuko ndio udhaifu na utaishia kuolewa na mkeo. Kosa ni wewe kuacha ushahidi mwingi kwenye simu.
Usipanic. Mkeo sasa atazidisha mapenzi kwako baada ya mapatano na kugundua kwamba yupo na kidume na sio malaika wala kivulana. Ameshajua ana wapinzani na hivyo ataboresha sera.