Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida. Kutokuwa na kamchepuko ndio udhaifu na utaishia kuolewa na mkeo. Kosa ni wewe kuacha ushahidi mwingi kwenye simu.
Usipanic. Mkeo sasa atazidisha mapenzi kwako baada ya mapatano na kugundua kwamba yupo na kidume na sio malaika wala kivulana. Ameshajua ana wapinzani na hivyo ataboresha sera.
sahii kabisa ye ajishushe kwa mda huu baada ya hapo aje atupe ushuhuda hapa ndoa yake imeimalika
 
Ukiona mwanamke anatafuta sana ushahidi wa kuwa unamcheat

Ujue naye anakucheat

Ni kawaida mwizi kumhisi mwizi mwenzake

Nina uhakika 100% huyo mwanamke anatombesha sana nje

Wanawake wengi wanajua tu kuwa tunawacheat ni vile wanakosaga ushahidi.

Huyu kaamua kuutafuta ushahidi ili akuchanganye aanze kukuandama na kukutawala. Zitaanza zile kauli zao Na leo umerudi usiku ulikuwa kwa malaya zako....siku hizi haunipendi upendo umepeleka nje

Shida ya mwizi huwa anataka mwenzake aonekana ndiye mwizi

Good news ni kwamba hamtaachana maana wote ni malaya
 
Muombe msamaha yaishe,badilisha muenendo nae aone umechange kweli,kisha ujinga wako kama utaendelea tumia akili nyingi bila kuadhili majukumu home.
mnanichanganya sasa nishike lipi..??
 
Ndoa sio ya kila mtu,hukutakiwa kua kwenye ndoa,una utoto mwingi,
Akili ya mtu haipimwi kwa umri bali kwa matendo yake,

Mkeo na watoto wako wamekula hasara kubwa sana kupata Baba kama wewe,
Wewe huwezi kubadilika,muache mkeo akaishi kwingine kwa amani halafu wewe endelea kugonga huko nje mpaka ukipate unachokitafuta,

Hukua umekomaa kiakili mpaka kua kwenye ndoa.
Daaah ni kweli mkuu. Ila ndo hvo namna sina , the truth has been revealed on the table. It's my fault
 
Hapo hadi sasa jiandae kisasi atatafuta mtu amgongee ...

Ni atakuwa anagongwa gongwa hovyo
Inshort kazi kwisha hata uombe msamaha gani

Mimi simu yangu huwa na password mbili moja kufungua simu .....ya pili kufungua application kama watsapp meseji za kawaida facebook na insta... yaani hadi kwenye gallery nimeweka makufuri

So akijua ya kwanza itabid ajue ya pili kazi ambayo ni ngumu
Ni bora akagongwe kwa kulipiza kisasi kwa sababu anajua kabisa na mm nimemcheat ila siyo ile mwanaume umenyooka huna makandokando yoyote ila wana wanajichapia tu, by the way hata kama wakichapa sawa tu as long as nitakuwa sijui.
 
1. Peleka malalamiko kwa shetani alikupitia.

2. Omba msamaha

3. Zidisha upendo kwake.

4. Nunua zawadi nzuri yenye thamani kubwa mkabidhi.

5. Mtoe auti mara kwa mara

6. Ondoa lasword kwenye simu ,Sasa awe huru kuushika muda wowote.

7.Piga pin wanawake wote wa nje.
 
Kuhusu mtoto hliyezaa nje ya ndoa mueleze ukweli. ili uwe na amani kuliko kujiiba uje ugundulike tena .

Piga magoti .mbele yake Omba msamaha sana.

Sindikiza msamaha kwa zawadi kubwa yenye thamani na kumtoa auti na kumpelekea moto wa uhakika kuliko siku zote.

Fululiza kumpelekea moto haswa.

KISHA UNIPE MREJESHO.
 
Ambacho wanaume hawajui wanafikiri wanawake husamehe mambo haya. Hata mkiwa pamoja kwa yaliyotokea hakuna msamaha kuna visasi.
 
Kuhusu mtoto hliyezaa nje ya ndoa mueleze ukweli. ili uwe na amani kuliko kujiiba uje ugundulike tena .

Piga magoti .mbele yake Omba msamaha sana.

Sindikiza msamaha kwa zawadi kubwa yenye thamani na kumtoa auti na kumpelekea moto wa uhakika kuliko siku zote.

Fululiza kumpelekea moto haswa.

KISHA UNIPE MREJESHO.
Kwanini ampigie magoti,,,,akiri tu kosa inatosha kisha a mute,na majukumu yake asipunguze,,,,akipewa haki yake ya ndoa afanye kwa kiwango chake,na mapenzi ampe kama kawaida....hapa dunian hujaja kujiumiza aloo
 
Shida ilianzia hapo uliposema umekwenda kulala chumba Cha wageni,KOSA KUBWA wanandoa kugombana alafu Mmoja wenu akahama chumba,hyo hupelekea tatizo kuwa kubwa zaidi,Yaan ingebidi hta kitanda uchonge Cha 4kwa3 Ili tuu hta ukijigeuza mnagusana[emoji3],Kosa jingine pia ni kuacha ushahd kwenye simu Yako HIYO NI DHARAU KUBWA ukimalza kufanya uchafu wako hebu futa kabsa usiache Alama,Hebu waza what if ndo umekufa halafu amefungua hyo cm kabla hujazikwa[emoji1787][emoji1787]si angesusia msiba au angesitisha vilio na kufurahia rohoni.
 
Yaani kabla jua kuzama Leo,Naomba fungasha virago vyako na Kila kitu Rudi chumbani kwako,myamalize na mkeo,KIBURI CYO MAUNGWANA.
 
Mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja ni kawaida. Kutokuwa na kamchepuko ndio udhaifu na utaishia kuolewa na mkeo. Kosa ni wewe kuacha ushahidi mwingi kwenye simu.
Usipanic. Mkeo sasa atazidisha mapenzi kwako baada ya mapatano na kugundua kwamba yupo na kidume na sio malaika wala kivulana. Ameshajua ana wapinzani na hivyo ataboresha sera.

Kuna kuchitiana na mtoto mwingine kuzaliwa kwenye hayo mahusiano. Hivyo ni vitu viwili tofauti bro

Lakini pia hayo unayoyasema yanawezekana kutokana na mwanamke anayachukulia vipi mahusiano yake.

Kama ni simple simple na kalelewa sehemu zile oya oya ambazo cheating ni kawaida. Hapo sawa ila cheating inaweza kuwa option ya kutuliza maumivu yake na maisha yataendelea kama kawaida

Lakini kama ni mwanamke anayejiheshimu, aliyetulia na ambaye alimpenda sanaaaaa. Kuna kovu kubwa kashalitengeneza kwa hiyo huwezi kujua reaction ya huyo mwanamke itakuwaje
 
Back
Top Bottom