Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Jamani si wanasemaga mean kulitafuta mwana kulipata.
Mkeo alichimba chimba na hatimaye akafanikiwa kupata alichokuwa anakitafuta.

Sasa ndoa yenu imeingia dosari.
 
Umeshauri vizur ila sikuona umuhimu wa kutaja jamii ya watu flani hapo
 
Watu wenye experience tunasema unakana kwanza hayo mashitaka . Then baadae unaomba msamaha.😂😂
 
Pole mkuu mimi nme shikwa juzi tena sms ilio muuma ni nili mkana kwa mchepuko, kwamba she is nobody na mchepuko usiwe na wasi [emoji28]yameisha japo akuja poa kabsa
 
Jambo dogo kabisa hili mdau
 
Jambo dogo kabisa hili mdau
 
Muombe msamaha yaishe,badilisha muenendo nae aone umechange kweli,kisha ujinga wako kama utaendelea tumia akili nyingi bila kuadhili majukumu home.
Akijichanganya kuomba msamaha ndo kajifunga maxima. Time heals
 
We utakuwa shoga yake naona , si kwa jukumu hzi
Yaani kabla jua kuzama Leo,Naomba fungasha virago vyako na Kila kitu Rudi chumbani kwako,myamalize na mkeo,KIBURI CYO MAUNGWANA.

Naona wajumba mnamwambia aombe msamaha waendelee! Wakati mnasema mke akiwa na mahusiano nje aache hafai.
Nakushauri achana na huyo mkeo hakutoshelezi na kukutuliza ndio maana una wa nje halafu hao wa nje wanaokutuliza moyo oa mmoja.sawa

Ahahaha hako kasimu ka afu 12 wanakotumia warombo walevi nakapata wapi mzee wangu, aisee nisamehe nimekosa mimi
 
Kwaiyo Mkuu unaharalisha watu kufanya Uzinzi si Ndio?
 
nipe namba zako nikupigie nikutukane sana kwanini umeondoka na simu yangu

halafu utapata sababu ya kumwambia mkeo hio simu si yako toka muda sana uliikopa na ukashindwa kuilipia..

au kodi mtu aje aibebe tena na mgambo juu😅😅😅
Hii mbinu ni mbinu haswaaaa
 
Tulikubaliana mwanaume hakubali fumanizi yyte....kataaa katu katu
 
Hii imeendraaaaa.
Ukirogwa kukaa chini na kujadiliana ndo umekwisha mazimaaa.
Akikomaa kuyaongelea, muombe msamaha yaishe. Kama alivyosema MTAALAMU, beba msalaba wako na timiza majukumu yako period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…