Huyo bwana mdogo bado moto haujamuwakia, asubiriSasa mimi kama ilivo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Tatizo lilianzia hapa
Siyo kweli, alikuwa na jamaa anamuimbisha kila mara akawa amempenda. Sasa hii atatumia kama ganda la ndizi tyuY
Yani mke akagongwe nje kisa hasira?
Hakukuwa na amani, ililkuwa amani feki. kikubwa ni kuwa mkewe hampi kile akitakacho kiu ikakatika ndo maana anakitafuta kile anachokikosa ndani na huko nje hajakipata badoSasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!
Stimu gani sasa? Ile stimu uliyokubali kuanza naye ndiyo iendelee ku maintain safari yenu. Zaidi ya hayo nyie ni watu wazima mliolelewa mazingira tofauti. JIKAZE stimu liendeleeSema ukimwamini mtu alafu ukakuta anafanya mambo sio inakata stimu kinyama yani
Hata siku moja usifanye kosa la kukiri kosa. Mwanamke usithubutu kumuomba msamaha kwa jambo kama hili. Mwanamke anamiliki mbususu, mume anamiliki ndoa.Wakuu salama?
Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.
Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.
Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.
Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.
Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.
Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.
Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Hivi kwanini aibu na majuto huja baada ya kukamatwa!! Hio aibu ulikua huipati unapofanya hayo yote. π€Wakuu salama?

Wakuu salama?

Sema tu kwa vile ma malaya unaweza kuyafanya kadri unavyotaka! Hata kuyanyanyua miguu mpaka darini lakini ladha ni ile ile mkuu!Nyama ni ile ile ila uzani tofauti mkuu ni kusema kuchepuka sio kuzuri kwa ajili ya familia bora na wanao kujenga uaminifu na utii ila kusema ukweli michepuko inajua waeza enda round hata kumi bila kujua kuliko mke ndani ukipiga kimoja hadi kesho kutwa kwanza hata hicho kimoja hana muda yeye anawaza watoto tu
Kajinga! ππππππAsee pole sana. Mimi yamenikuta mwez wa nne na ndio alikuw anaend kupona ila ijumaa nkajivuruga nkamtumia sms mkewang badala ya mchepuko
Watani zangu. Hawa wajinga wanatusema Sana sisi wapare.Umeshauri vizur ila sikuona umuhimu wa kutaja jamii ya watu flani hapo
Tungekuambia, lakini utayazagaza.Ninyi wenzetu huwa hamko busy? Unawezaje kudeal na mke, mchepuko wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne hadi watano? Wote hawa mnachat, mnapigiana simu, mnatumiana picha???
Ama kweli upumbavu ni kipaji, ambacho hakiwezi kuisha hadi uzeeni.