Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

Sasa mimi kama ilivo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Tatizo lilianzia hapa
Huyo bwana mdogo bado moto haujamuwakia, asubiri
 
Unaachaje mameseji ya michepuko kwenye simu aisee! Hata kama hajui password lakini try to be reponsible. Show her some respect. Unajiachiaje kiasi hiko!
 
Sasa mkuu kama ndani kwako mlikuwa na amani huko nje ulifuata nini tena? Haya ndiyo makosa wanaume tunafanya, nyama ni ile ile utamaliza Bucha tu! Halafu ukute na hayo ma michepuko siyo pisi kali kuzidi mkeo!
Hakukuwa na amani, ililkuwa amani feki. kikubwa ni kuwa mkewe hampi kile akitakacho kiu ikakatika ndo maana anakitafuta kile anachokikosa ndani na huko nje hajakipata bado:AmberDollDance::(ditto):
 
Sema ukimwamini mtu alafu ukakuta anafanya mambo sio inakata stimu kinyama yani
Stimu gani sasa? Ile stimu uliyokubali kuanza naye ndiyo iendelee ku maintain safari yenu. Zaidi ya hayo nyie ni watu wazima mliolelewa mazingira tofauti. JIKAZE stimu liendelee
 
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Hata siku moja usifanye kosa la kukiri kosa. Mwanamke usithubutu kumuomba msamaha kwa jambo kama hili. Mwanamke anamiliki mbususu, mume anamiliki ndoa.
Hata angekukuta unatesa kucha, huruhusiwi kukiri kosa. The moment you admit and apologise for such kind of issues, unakuwa umenyang’anywa silaha zote.
Utakoma kwenye hiyo nyumba.

Amka piga biti moja matata sana, kwanini kagusa simu yako, alafu akizingua mwabie ajikatae.

Wewe ni mwanaume usikubali ujinga, tafuta namna ya kugeuza kibao.
Mimi suala kama hili lilishanikuta, mbona niliombwa msamaha mimi japo ndo nilikuwa mkosaji.

Own your family and remain strong, the moment you show weakness and fear kwamba ataondoka, ndo utajua hujui.
 
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
Hivi kwanini aibu na majuto huja baada ya kukamatwa!! Hio aibu ulikua huipati unapofanya hayo yote. 🤔
 
Hahahaha poleee kaka jiandae kuchapiwa hizi mambo demu wako alishaniambia kitambo...sema ulipata demu bomba sana na mwamwinifu..wasalimie hapo arusha..mkeo rafiki yangu sanaa
Wakuu salama?

Aisee aiseee kimenuka tiyari hapa nyumbani kwangu kati yangu mimi na mama solomonii. Mimi ni mwanaume wa early 30's niko na mke na familia ya watoto kadhaa. Mimi siku zote huwa ni muumini wa faragha na uhuru binafsi hivyo huwa sitaki wife aguse simu yangu na wala mimi kuchokonoa simu yake, japokuwa yeye huwa ana mahaba sana na simu yangu kiasi pengine ndoto yake ni kuimiliki simu yangu na kuwa na access ya kila pahala yaani.

Sasa mimi kama ilivyo baadhi ya wanaume sijapoa sana niko na mamaz za hapa na pale mixer wa zamani wapya, wakupoozea, mwingine nimezaa Naye chobingo.

Kwa mantiki kwamba wife hana access na simu yangu hivyo huwa sifuti sms wala picha ama calls...za hizo mamaz ninazo mingle nazo siku moja moja kwamba kwa hofu ya kuja kukamatika. Sasa huyu mama kwa namna alivyo na mahaba ya dhati na hii simu sijui kafanyajefanyaje kaijua password ya simu.

Nikawa jana nimerudi zangu home saa 6 usiku nikaacha simu sebuleni nikaenda kulala. Bwana bwana kafukunyua kila kona kuanzia sms, WhatsApp, gallery mpaka koote yaani, naimiliki hii simu toka 2020 na huwa sifuti kitu chochote, kakukutana na balaa zitoo yaani Zito mno.

Ghafla naamshwa nasomewa risala juu ya tabia yangu ya umalaya kupitia ushahidi mujarabu alokutana nao kwa simu yangu, sikutaka kumsikiliza zaidi, kujibizana naye wala kujitetea maana kila kitu kiko wazi kabisa, kitu nimefanya ni kushuka kitandani kwa hasira na aibu kuu na kuelekea kulala chumba cha wageni mpaka sasa ndo nilipo najitafakari na usingizi umepaa mazima.

Hofu yangu kuu ni hatima ya hii ndoa na bila shaka imani ya huyu dada kwangu imepotea kabisaa na ni moja ya kovu kubwa sana limedevelope hapa nyumbani. Sijui tutaishije kwa kweli. Na hii pengine itampelekea kwenda kulipa kisasi, ambapo aweza ishia kujiumiza ama kuniumiza na mimi pia. Tulikuwa na amani humu ndani jamani ila ndo hivyo simu ishaniumbua.

Tafadhali wakurungwa mliowahi kulipitia hili hebu nipeni mwelekeo katika hili natokaje hapa.
 
Nyama ni ile ile ila uzani tofauti mkuu ni kusema kuchepuka sio kuzuri kwa ajili ya familia bora na wanao kujenga uaminifu na utii ila kusema ukweli michepuko inajua waeza enda round hata kumi bila kujua kuliko mke ndani ukipiga kimoja hadi kesho kutwa kwanza hata hicho kimoja hana muda yeye anawaza watoto tu
Sema tu kwa vile ma malaya unaweza kuyafanya kadri unavyotaka! Hata kuyanyanyua miguu mpaka darini lakini ladha ni ile ile mkuu!
 
Asee pole sana. Mimi yamenikuta mwez wa nne na ndio alikuw anaend kupona ila ijumaa nkajivuruga nkamtumia sms mkewang badala ya mchepuko
Kajinga! 😁😁😁😄😄😄
 
mjenziwakale mke wako hata akiona picha uko juu ya mwanamke. Kataa huyo sio wewe. Kataa Tena kataa kabisa. Siku ukifanya uzinzi halafu ukakubali mbele yake aisee hiyo ndio itakua reference yake kila uhomvi ukitokea.
Lakini ukikataa na kuapa kwa jina la babu yako aliyekua na wake wengi, Ni rahisi kusahau au kusamehe.
Mkatalie mwambie meseji sio zako na picha huzijui.
 
Mkuu jaribu kufanya hivi,
1. Jifanye unahasira, yaani jifanye ume-mmind kwelikweli kana kwamba kosa ni lake
2. Mwambie ajiandae(Aoge na avae nguo za kutokea) kisha anzeni safari, hakikisha unakahela mfukoni
3. Mkiwa njiani, mwambie "mama Solomon bila shaka unajua kilichotokea jana" basi naomba niambie ni mwanamke gani au mwanamme gani aliyekamili katika njia zake??? Yaani hajawahi kukosea??? Hakika Nikimjua huyo nitamfanyia jambo la ukumbusho
4. Bila shaka hataweza kumtaja, mkiwa mnaendelea na safari yenu, mwambie leo hii umejua siri zangu tena huenda umeijua muda muafaka ili nisiwe mgeni tena kwako bali umenijua katika yote.
5. Mwambie, kama uliweza kuishi na mimi kwa amani miaka yote hii bila kuyajua haya, je si nizaidi ya hayo ukiisha kunijua???
6. Mwisho, mwambie samahani kwa kuujeruhi moyo wako, nakuombea amani iwe pamoja nawe, NISAMEHE na kuniombea niyaepuke haya, kisha ingia dukani mnunulie vyupi, hereni, sidiria n.k kisha mrudi nyumbani kwa amani.
 
Ninyi wenzetu huwa hamko busy? Unawezaje kudeal na mke, mchepuko wa kwanza, wa pili, wa tatu, wa nne hadi watano? Wote hawa mnachat, mnapigiana simu, mnatumiana picha???

Ama kweli upumbavu ni kipaji, ambacho hakiwezi kuisha hadi uzeeni.
 
Tungekuambia, lakini utayazagaza.
 
Back
Top Bottom