Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

🤛🤛🤛🤛

Naimani kaelewa japo kidogo
 
Unikumbushe kesho.
Mimi nimepakana na miti ya kahawa kwa upande mmoja
Hadi akukumbushe kesho wakati mwenzio nimeshachukua point tatu tayari. 😅😅

Nimeshamwonyesha na somo nimempa. Aaliyyah Kama unataka kuuliza swali lolote la kahawa we niulize tu,Mimi sijibu kesho nakujibu hapa hapa Sasa hivi. 😅😅
 
Wakubwa hatuendagi hivyo kaka
 
Ni kweli kahawa nzuri unywe pasipo sukari.

Espresso iko very strong na ndio maana inakuwa served na glass ya maji pembeni
Bora wewe umenikomeshea huyo mkulima wa kahawa Sanya juu. 😅😅

Ananibishia mtaalamu wa kahawa wakati namfundisha mtu jinsi ya kuitumia. 😅😅
 
Wow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…