Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Pole Sana sister. Lakini Kama haikuletei madhara sioni Kama una sababu ya kujilaumu na kutaka kuacha.

Au una tatizo la moyo kustuka pindi ukinywa kahawa?
Tena wewe Uko na adhabu yako pembeni kaka.

Unakumbuka ulimpa nini Chriss?🤣🤣
 
Ninaendelea kujaribu lakini ninashindwa.

Naweza sema leo nitakunywa peppermint tea tu lakini haipiti muda chap uchovu unanikunbuka ghafla naona kahawa ndio suluhisho 😔😔
Chocolate niliwai soma kuwa ina ina caffeine kama kahawa hasa dark chocolate so inaweza serve the same purpose ya kahawaa
 
Back
Top Bottom