Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Habari ya jioni wana jf. Mko salama jamani?😊

Ninaimani kichwa cha habari kinajieleza vyema.

Yes natamani sana kuacha kunywa coffee hususani espresso.

View attachment 2617972na
View attachment 2617999
cappuccino.

Nisipokunywa Kwa asilimia 60 siku yangu inakuwa ya hivyo sana🥲

Nifanye nini ili niweze kuacha kunywa?

Kama kuna mtu yeyote humu ndani ana changamoto ambayo anahitaji utatuzi (msaada) tafadhali drop your comment hapa unaweza pata msaada.

Si ndio jamani ee💃💃💃💃💃
Ehee🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
Umekuwa mlevi au addicted? 🙈🙈🙈
 
Una mda maalum wa kunywa?
Mfano saa 4 asubuhi na saa 9 alasiri?
Kama ndivyo fanya hivi:
Tafuta kinywaji mbadala na ifikapo mida hiyo kunywa au kila unapotani kunywa hicho kinwqaji mbdala

(Lakini tuache utani cappuccino/espresso ninaipenda sana Chakorii )
Ninakunywa muda wowote ninapohisi niko mchovu nikianza na asubuhi

😁😁mistari ya mwisho imenifurahisha
 
Tupo pamoja kwa hili nami ni tatizo langu pia unywaji wa kahawa ‘ Gahwa’ na kwa sasa ‘Americano’ kuliko ‘Cappuccino’

Sema mie kuna muda ndo nakunywa hasa asubuhi mpaka saa tisa hivi mchana na nikinywa zaidi ya hapo inategemea hasa kama naingia mazoezi (gym) na hasa kama ratiba yangu ya mazoezi itakuwa kufanya mazoezi ya mguu , mgongo na kifua napenda Ku ‘boost’ kwa kahawa

Watakao toa madhara yake kitabibu hapa watatusaidia wengi wetu wenye huu uraibu , asante mleta huu uzi kwa kuuleta hapa nasi tupate faida kutoka kwa wadau
🥲🥲🥲🥲

Kuna watu wemetoa mbadala ngoja nianze kuifanyia kazi tuone kama will work

Pole sana
 
Back
Top Bottom