Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Umeanza sasa.

Tumshauri sister Chakorii aachane na matumizi ya kahawa, caffeine inamsumbua.
Kichwa chako kibovu🤣🤣
Juzi ulinioshea nilipokwambia usimwite dadako mkuu,,,ukanitemea mbovu eti kuwa hapa jf hakuna sista wote ni wakuu.

Acha leo nikusitiri...ole wako ujigonge kwa Lenie tena nitakuitia Manyanza akufumue😂😂😂
 
Usipoleta utaniudhi kaka🤣🤣niletee nitatengeneza scrub ya kusugulia mikuu 😉

Nitamfikisha ujumbe wako Kesho tu asubuhi Na mapema.kitimoto kinakusubiri kaka😁

Hauna decaffeinated coffee?
 
kwanza umenishangaza.
hiyo kitu ukiacha gafla lazima upate madhara coz ina addiction kuliko alcohol,
chakufanya ni kupunguza concetration yake kama ukuwa unakunywa kikombe kizima anza kunywa robo tatu for 1week,then nusu for one week, then robo for two weeks hpa unaweka cofii kidogo unajazia na maji then unastop kwa kutafuta replacent yake either muda uli kuwa unakunywa cofii agiza maziwa au uji ,juice,yourghot itakufaa
 
Mimi nilikuwa natengeneza viungo vya chai mwenyew Huwa naweka tangawiz na pilipil manga kidogo sahiz naona hali mbaya natumia pilipili manga nyingi na tangawiz kwenye chai Yani chai had iniwashe hasa ndo najielewa
Hiv Haina madhara kiafya?
Haina madhara. Japo inashauriwa kubadilibadili viungo usile aina moja ya viungo kila siku. Kubadili ni muhimu. Lakini usitumie tu viungo vyenye nyongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…