Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

Asante! Nimekuelewa wacha nijaribu
 
Maneno yako yameniingia kumoyo lakini..ninaye ninayempenda ila sasa yeye ndiye simuelewi..yaani hanijali kama navyomjali mpaka akiona nimekasirika natakan kumuacha kabisa ndiyo unamuona anljirudi na msamaha ananiomba japo hanionesh kma ana mwanamke mwingine ila tabia yake ya uselfish tu inanikera sana anaweza kuamua tu mambo ya ovyoo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hutu tumtu tuchoyo tuchoyo tunakeraaa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aachane nao bwana kasema eti shida ni nyege aache kuziendekeza zikizidi anawe na maji ya moto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aachane nao bwana kasema eti shida ni nyege aache kuziendekeza zikizidi anawe na maji ya moto
Huh!! Basi hayuko serious
 
Onana na wadangaji wa mjini kina Kajala na mwanawe asiyependa shule.
 
Siyo kwamba nadanga hata mie nina hela yangu tu lakini jaman niko na mwanaume si hata anipe heshima tu? Hata ushauri? Ndo niko natafuta hivo Wakunioa lakin sioni sijui nibak peke yangu tu niachane nao? Lakin msimamo huo sina sasa kwasabu na nyege
Kazi ipo!!

Korona ipo na inauwa, vaa barakoa!!
 
Hakuna aliye mkamilifu.Ni heri uwe na cha kwako mwenyewe ambaye mtavumiliana naye katika shida na raha,Hayo ndiyo mapenzi ya kweli.Dhambi mbili ambazo hata Biblia imeruhusu hatua kali kuchukuliwa 1:Usimuache mwanamke mchawi kuishi 2:Usimuache mkeo isipokuwa kwa dhambi ya uzinzi.

Uzinzi ni USALITI mkubwa sana.Ndiyo maana hata YUDA baada ya kusaliti hakusamehewa mpaka alipojinyonga.

Jaribu kufikiria maumivu atakayopata mwenzi wako atakapojua unamsaliti, Ke na wewe ungependa usalitiwe?.Nakushauri kuwa muwazi kama hauna mapenzi ya dhati kutoka moyoni ni heri umueleze ukweli.Kwa huyo ambaye unampenda kwa dhati ni heri umueleze pia mkae mzungumze,Ma uwe tayari kuishi naye kwa shida na raha huku mkivumiliana kwa mapungufu yenu kwa kuwa hakuna aliye mkamilifu.
 
Hata mie huyu wa gar namtumia kama siyo gar nisingemkubal na anajua..ila mwanamke kutafuta mwanaume ni vigumu sana! Nampataje
We sidhani kama ni mwanamke halisiπŸ˜… mwanamke anapataje tabu kupata mwanaume?
 
π™Ύπš—πšπšŽπš£πšŠ πš–πš πš’πš—πšπš’πš—πšŽ 𝚠𝚊 πš‘πšŽπš•πšŠ.
 
Hutuoni huku mitandaoni tukitafuta wanaume wa kutuoa? Nyamaza tu
Utakuwa na tatizo bila shaka πŸ˜… samahani lakini, hisia zinanituma hivyo! Una nini mpaka watu wasikutake huko kitaani kwako?
 
Utakuwa na tatizo bila shaka [emoji28] samahani lakini, hisia zinanituma hivyo! Una nini mpaka watu wasikutake huko kitaani kwako?
Hiv mpaka mtu anakupa gar bado hakutaki? Mpaka nina wanaume watatu kwa wakat mmoja bado sitakiwi? Hujaelewa nachotaka tulia usome tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…