Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Hii mkuu iliwahi nikuta enzi najitafuta niko chuo pisi kibao lakini nipo single, hata ukiomba namba unapewa ukipiga tu ukajieleza unakatiwa simu na una blockiwa kabisa. Ila huwezi amini niliposhika odo nilianza kuwa napapatikiwa sana na wengine waliowahi ni block. Kama huna nyota ya mvuto tengeneza pesa zitawavuta kwako. Na kumbuka wakija kwa kufata pesa hit and run usiweke kambi.
 
Acha kumpoteza dogo et spirit haitaki mara sijui universe Yani usenge usenge tu
Et endelea kusubili mpaka miaka 27 mara et universe itakutea demu wako hivi mnakuwa seriously mnapoandika hizi pumba🤣🤣🤣
Kijana mwenzangu nikushauli kwenye maisha kaa ukijua you're not special na usije dhania et wewe ni wa tofauti sana au ukajidanya ukadhani Kuna soulmate wako ameandaliwa et mkutane usije staajabu ukakutana na huyo unaemwita soulmate wahuni wameshachakaza mbele na nyuma I'm talking from experience jichanganye uje upigwe na kitu kizito🤣🤣🤣
Et spirit sijui universe relm dogo usije amini huu usenge 🤣🤣🤣 utakuja unishukuru
 
Mwanangu umerogwa sio bure!hata dada zako wavaa madera wanakupiga za mbavu??
 
Fact bro
 
Nimecheka hatari, sasa wewe unataka dogo afanyeje, aanze kutafta malaya au? Unataka afate nyayo zako za uraibu wa ngono? Acha kuspread ujinga na vitu visivyo vya msingi kwenye matter points. Sijamwambia asubir nimemwambia asiforce na kingine nani kasema dogo aamini soulmates? Nimemwambia awe na subra soon atapata partner anaye stahili! Acha kum gaslight dogo.
 
uyu sio domo zege wala mtu mwenye gundu huyu trophy hunter/ jangiri linawinda linasubiria ma scavenger ya umu yanase lipite nayo shwaaa
 
🤣🤣🤣🤣Kwani ni nani aliandika haya maneno ni nani et 👇

"Hapo ukifatilia vzr utakuja gundua kuna kama kizuizi katika spirit realm haitaki uwe kwenye relationships huenda kuna mtu sahihi ambaye na yeye ana pitia hayo na mtakutana soon"
Sasa hapa siulimanisha soulmate au hujui maana neno soulmate

Wewe mtu amekuja amelalamika ana miaka 24 anakosa nyapu badala umpe mbinu nini chakufanya kama kidume Kwa sababu maelezo yake anaonekana amekosa game anaonekana pia bado ana nice guy syndrome ambao Mimi simlaumu ni kawaida Kwa sisi vijana na ili improve inabidi ajifunze sio abweteke akidhani yeye ni wapekee sana
Ila wewe unamwambia Kuna et spirit realm haitaki mara soulmate anakuja awe na subra acha kumpoteza dogo 🤣🤣🤣🤣kila kitu hapa duniani unakitafuta sio unakaa unabweteka et nasubiri🤣🤣
 
Soulmates ni concept ambayo wengi mmeishikilia kijinga, najua soulmate na kuna twin flames pia! Ila sikumaanisha hivyo! Soulmates hawapo ni terms watu wamejitengenezea tu. Alaf mapenzi hayalazimishwi wewe unafikiri dogo mpk anafikia 24 hakuwahi kujaribu? It means kama hana shida yoyote kuna qualities ambazo yeye anazo hazija match na wale ambao amewa approach!

Acha kujifanya hujui maisha, et kila kitu unatafta? 🤣🤣 af inaonekana bado una ulimbukeni wewe. Alaf kwenye point zako dogo hana alicho jifunza yaani unamwambia asibweteke alaf humwambii afanye nini.
 
sio gundu ni mentality yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…