Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

Mdogo wangu hongera sana
MUNGU anakuepusha na madhila kibao. Kwa upeo wako unaona unagundu ila hela yako mfukoni itakaa na pia hutapata DHAMBI.

KAKA ZAKO tunajitafuta kuacha hawa wanawake walotukumbatia ila imekuwa ngumu sana yan mtu unakuta una zaidi ya wanawake watano ukitaka kuwaacha unaliliwa kama wewe ndo mume wao.

Kamtolee Mungu sadaka ya shukran na umwombe akujalie MKE MWEMA TU
 
Huna hela, tafuta hela, wanawake wenyewe watakufuata wa kila aina.
 
Wengine wanawaza namna ya kutoka na Wengine wanawaza namna ya kuingia. Mzani unabalance
 
ddah kaka inauma sana mpaka nikawaza kuingia . Huko sahv nimebaki mtu wa kuchezea pikipik tu(bike)
Sadaka na maombi vitakuokoa,kwenye maombi mwambie TU yeye aliekuumba akupatie was kwako!!

Uanfikiri basi haya maisha yanataka uwe na madem kibao mkuu!!?anahitajika Dem mmoja TU!yours for you!!

Kwanza nakuambia mungu anakulinda sana usiharibike!!

Toa sadaka halafu umwambie akupe wako Tena mwambie nataka "pis Kali" yangu ambayo mioyo yetu iungane kabla ya miili yetu na hakuna was kututenganisha coz nature ndio ituunganishe!!

Maisha hayahitaji madem wengi kama humu jf wengi tunaona kama fantasy ku change madem!!

Kutia madem wengi kunaumiza Sana mkuu ni vile hatusemi tu!!

Kuna wengine Huwa wanatunyonya nguvu Hadi mafanikio yote kabisa!!

NIMEKUANDIKIA UKWELI UNAMHITAJI MMOJA OMBA MUNGU UMPATE HUYO!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…