X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #221
nita itafuta...!Tamu sana,kama umewahi kunywa redbull ndio inakuwa vileš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nita itafuta...!Tamu sana,kama umewahi kunywa redbull ndio inakuwa vileš¤£
i think wewe ni pacha wangu kabisa, š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Mm mkuu sahiv Niko plan C mana hii A na B zilifeli.. nkakimbilia Zanzibar kutafta maisha. Kuanza tu nikapata kazi ya ulinzi.. kila mwezi naenda kupigwa sindano sita hospitali mana malaria uhakika.
Hapo nimekimbia dar baad ya kuona ndugu wananiwangia. Mm hapa nilipo hata baba angu aliyenizaa Hana namba yangu na siwasiliani nae. Hao ndugu ndo kbisaaa mana nimeona ishara ya uchawi ulitukuka ukoo ule. POTELEA MBALI
Ipo siku tu
God will make a way where it seems to be no way. Amin
Kaokoke wewe Fala! Mnaambiwa mkimbilie Yesu mnakataa! Unadhani huko uendako ndo kuna unafuu? Utaishia kuzimu motoni! Tafuta kanisa la walokole wakuombee na uokoke! Fala wewe! Eti mnamkataa Yesu! Ona sasa!Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.
Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Munguš hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.
Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho ššš kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.
Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.
Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!
Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.
Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.š„²
Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.
miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.
siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda šššš
kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode āļøš¤£š¤£š¤£
Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.
Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. š
Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.
Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.
Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.
Good.nita itafuta...!
Duh we balaa!nimesurrender mkuuMm mkuu sahiv Niko plan C mana hii A na B zilifeli.. nkakimbilia Zanzibar kutafta maisha. Kuanza tu nikapata kazi ya ulinzi.. kila mwezi naenda kupigwa sindano sita hospitali mana malaria uhakika.
Hapo nimekimbia dar baad ya kuona ndugu wananiwangia. Mm hapa nilipo hata baba angu aliyenizaa Hana namba yangu na siwasiliani nae. Hao ndugu ndo kbisaaa mana nimeona ishara ya uchawi ulitukuka ukoo ule. POTELEA MBALI
Ipo siku tu
shukrani sana mkuu.. pikipiki naijua sema self esteem is so down ndio maana nawaza labda niende shamba nikaji isolate labda kidogomkuu kama unaweza kuendesha pikipiki jikite hata kwenye bodaboda... huwezi kukosa elfu 10 kwa siku... na kupata pikipiki hapa mjini ni rahisi SANA...!
kama uwezi kuendesha nina weza nikakutafuta nikakufundisha ikawa ni zawadi yangu kwakoš„²š¤£š
Huu uandishi wako,hauleti maana ya unachokiandika!na unamuaibisha huyo Yesu mwenyewe.Kaokoke wewe Fala! Mnaambiwa mkimbilie Yesu mnakataa! Unadhani huko uendako ndo kuna unafuu? Utaishia kuzimu motoni! Tafuta kanisa la walokole wakuombee na uokoke! Fala wewe! Eti mnamkataa Yesu! Ona sasa!
Self esteem š¤š¤š¤š¤shukrani sana mkuu.. pikipiki naijua sema self esteem is so down ndio maana nawaza labda niende shamba nikaji isolate labda kidogo
na hizo dozi... si zinapatikana kwenye maduka yetu haya...? ya mtaani..? pharmacy
šššshukrani sana nitamtafuta.... niliwahi kutaka kujifunza... 2018 nilipata rafiki wa kikorea walikuwa pale mlalakuwa... mikocheni karibu na makao makuu ya jkt... yule mama alikuwa anapenda sana tukutane ila kipindi hicho nilikuwa busy nikawa simpi attention.
kingine nilikuwa naogopa yale mazingira sikuwa na mazoea na watu wanaoishi ushuani kwenye maappartmentš¤£š¤£š¤£
siku niliyo amua kumpa attention wiki 2 hizo akawa busy kushughulikia safari muda wake hapa tz ulikuwa umeisha... siku bahatika kupata hata introduction kutoka kwa huyo mama wa kikorea... alikuwa ananipenda sana.
napo alipo kuwa anaishi kila nilipo kuwa naenda nilikuwa nawakuta watu zaidi ya 10... wa mataifa mbali mbali... wakenya, wachina...!
wamekaa kwenye vigodoro kama mito ya makwisheni... najutia sana kulikosa hili darasa
alivyoondoka siku pata mawasiliano nae tena hadi leo...!
nitakutafuta...! my phone number is zero759moja70794 nitumie meseji nipate namba yakoPole mkuu,Naweza kukusaidia kisaikolojia mkuu bure kabisa. Please check me
Meditation ina clear hivyo vitu vyote na Inakupa Nguvu na kujiamini sana..shukrani sana nitamtafuta.... niliwahi kutaka kujifunza... 2018 nilipata rafiki wa kikorea walikuwa pale mlalakuwa... mikocheni karibu na makao makuu ya jkt... yule mama alikuwa anapenda sana tukutane ila kipindi hicho nilikuwa busy nikawa simpi attention.
kingine nilikuwa naogopa yale mazingira sikuwa na mazoea na watu wanaoishi ushuani kwenye maappartmentš¤£š¤£š¤£
siku niliyo amua kumpa attention wiki 2 hizo akawa busy kushughulikia safari muda wake hapa tz ulikuwa umeisha... siku bahatika kupata hata introduction kutoka kwa huyo mama wa kikorea... alikuwa ananipenda sana.
napo alipo kuwa anaishi kila nilipo kuwa naenda nilikuwa nawakuta watu zaidi ya 10... wa mataifa mbali mbali... wakenya, wachina...!
wamekaa kwenye vigodoro kama mito ya makwisheni... najutia sana kulikosa hili darasa
alivyoondoka siku pata mawasiliano nae tena hadi leo...!
nitafanyia kazi ushauri wako mkuu... shukrani sanaHata sifikirii unahitaji dose yoyote kamanda. Badili fikra na mtizamo wako kuhusu maisha. Tena fuatilia mbali mawazo kwamba unakaribia kufa.
Labda nikupe story yangu kwa ufupi...hongera sana Rafiki yangu... uliwezaje...!
Huyu Jamaa kwa uandishi wake nimemjibu kwa lugha anayoielewa! Naona kinyaa na kichefuchefu watu wanavyoteswa na shetani wakati Yesu anawaita wanamkataa alafu wanakuja JAMIIFORUMS kutafuta msaada! Si wamemchagua shetani? Acha awashughulikie na wanyamaze kimya na kuzimu wataenda wakiwa wanajitambua! JoannahHuu uandishi wako,hauleti maana ya unachokiandika!na unamuaibisha huyo Yesu mwenyewe.
shukrani kiongozi š nitajitahidi šKaokoke wewe Fala! Mnaambiwa mkimbilie Yesu mnakataa! Unadhani huko uendako ndo kuna unafuu? Utaishia kuzimu motoni! Tafuta kanisa la walokole wakuombee na uokoke! Fala wewe! Eti mnamkataa Yesu! Ona sasa!
Labda nikupe story yangu kwa ufupi...
1. Baba alikua mume wa mtu.
2. Mama akanusurika kuuawa mimi nikiwa tumboni.
3. Mama na mimi tukanusurika kufa wakati nazaliwa.
4. Nikaungua na moto nikiwa na mwaka mmoja nikanusurika kua kipofu.
5. Baba anatutelekeza kabisa nikiwa na mwaka mmoja, huku nikiwa simjui ndugu yeyote upande wa baba.
6. Ndugu wamama wananichukia kiasi cha kunitengenezea kesi hatari polisi.
7. Namaliza form 4 bi mkubwa anakumbwa na ugonjwa nashindwa kuendelea na masomo.
6. Nikapata kazi nikajisomesha kwa taabu.
7. Nikiwa na uhakika wa kufaulu mtihani matokeo yanatoka nimefeli form six.
8. Kila nikipambana nijiendeleze kielimu yanazuka majanga mara nyumba inuziliwa na mafurika inabomoka au kazi naachishwa/naacha
9. Napendwa na mwanamke nazaa nae akaniacha watoto wawili akalanda mjini tuu
10. Nilinunua viwanja vyote vimepotea kila mali niliyo nayo hata kijiko sina nimerudi nyumbani kama mtoto kumbe nina above 30s....
Katikati hapo fursa za kwenda nje, uongozi kisiasa na kidini ni nyingi mnoo lakini hazikuwahi kufanikiwa... niliishi kwa mateso makali ya moyo... niligombana na kumchukia Mungu kiasi sitaki kusikia mtu yeyote akimtaja mbele yangu.
Nina mwanangu na rafiki angu mwaka wa saba sasa hana mtoto na hata hawazi, akiwa hana hela hawazi akizipata anajipongeza ka kesho atapata tena akanigundisha kwamba je nikijipa stress hua nabidilisha jambo linalonisumbua?? Kama sina hela napata?? Au naishia kuumia tuu?? Jibu lilikua NO haibadilishi kitu.
Nikawaza kwamba wanaopitia magumu Mungu kwao haoni??
From that day, amani na utulivu wa nafsi ni kitu muhimu na namba moja, mbili naishi nikiwa sitegemei jambo lolote kuubwa maishani mwangu ila najikuta tuu matatizo yanaji set yenyewe.