Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Huyu Jamaa kwa uandishi wake nimemjibu kwa lugha anayoielewa! Naona kinyaa na kichefuchefu watu wanavyoteswa na shetani wakati Yesu anawaita wanamkataa alafu wanakuja JAMIIFORUMS kutafuta msaada! Si wamemchagua shetani? Acha awashughulikie na wanyamaze kimya na kuzimu wataenda wakiwa wanajitambua! Joannah
Acha UTAPELI...[emoji23][emoji23][emoji23] Unaongea kwa kuhamaki hivi na kumtaja Yesu, huku huko kiunoni na kwenye mapumbu kuna mahirizi yanapumua fuuuufuuuufuuuu na zaidi jana tu umetoka kumlala malaya na saivi una lichupa la K VANT unalewa na kuogelea kwenye pombe kama chura wa jangwani!
 
Maisha hayajawahi kuwa rahisi, ni magumu sana na kila mtu ana changamoto yake, huyu anaumwa cancer, figo, sukari nk, yule anapitia changamoto za ajira, uchumi umeyumba hadi watoto wanarudi kusoma shule asizotaka. Wengine hata chakula tu ni changamoto, hakuna asiye na changamoto duniani.

Tuzidi kupambana, zidi kupambana, tafuta watu wa karibu yako unawaamini ongea nao, watakusaidia na kama una imani ya kiMungu nenda fanya ibada uondoe hizo fikra za kufakufa, you'll be safe.

Tuishi, maisha pamoja na changamoto zake ila matamu sana.
 
asante sana 🙏 kwa ushauri wako nitaufanyia kazi
 
namba 1,2,3,4,5 tuna fanana mimi niliungua na uji nikiwa na miezi 9 hadi leo nina kovu bega la kushoto na kichwani...!

aisee wewe ni pacha wangu... elimu zangu zote nimesoma kwa kuunga unga. kwakweli wewe na mimi tuna vitu tunashare... kabisa...!​
Nimei feel saana thread yako maana nimejiona live kabisa... hata hizo trial za kujiua nshajaribu saana.

ila nilichogundua siku zoote maisha hayana huruma na mtu dhaifu, anayejionea huruma na kujiliza liza.
Siku hizi chozi langu ni gumu mnoo nnaishi kama wanavyoishi wengine hadi nimeanza kunenepa na kuona jinsi watu wanavyoteseka kwa ajili yangu kinyume na zamani.

Brother wake up never put down yourself like that, jifungue katika level ama standards ulizojiwekea and live ur life
 
nitajitahidi 🙏 kwakweli hali ni ngumu wapo wenzetu ambao awawezi kuzungumza...! tufanyeni kitu... hii hali inatesa sana kwakweli 😭😭😭​
 
kuna maisha fulani huwa watu tunapitia ni kama laana tu.... sometimes huwa naondoka nyumbani kwenda mbali sana bila hata kuaga MTU, na nakaa huko hata mwezi mzima ndo narudi na akili kidogo iliyo sawa.....jitahidi ubadilishe mazingira, haitibu bali imekuwa ikunipunguzia kidogo tatizo...
 
Huyu Jamaa kwa uandishi wake nimemjibu kwa lugha anayoielewa! Naona kinyaa na kichefuchefu watu wanavyoteswa na shetani wakati Yesu anawaita wanamkataa alafu wanakuja JAMIIFORUMS kutafuta msaada! Si wamemchagua shetani? Acha awashughulikie na wanyamaze kimya na kuzimu wataenda wakiwa wanajitambua! Joannah
Unamkumbuka Petro alivyomkana Yesu,watu walisemaje?hata tembea yako inaonyesha ni mfuasi wake... nafikiri hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa kama ni kweli unamuongelea Kristo.
 
nitajitahidi 🙏 kwakweli hali ni ngumu wapo wenzetu ambao awawezi kuzungumza...! tufanyeni kitu... hii hali inatesa sana kwakweli 😭😭😭​
Kuzungumza ni kuzuri usiache ila usindekeze kuumia ... pia kujiu si jambo jepesi na pia madhara ya stress yanaua kwskutesa saaana... mimi nilikonda nikaaza kuanguka na presha nilipo wekwa mapumziko na madrip ndo niliposema huu ndio mwisho wangu wa kujitesa. So ni kuamua tuu open ur new world of freedom
 
kuna maisha fulani huwa watu tunapitia ni kama laana tu.... sometimes huwa naondoka nyumbani kwenda mbali sana bila hata kuaga MTU, na nakaa huko hata mwezi mzima ndo narudi na akili kidogo iliyo sawa.....jitahidi ubadilishe mazingira, haitibu bali imekuwa ikunipunguzia kidogo tatizo...
nitajitahidi 🙏 kufanyia kazi ushauri wako mkuu
 
1. Ukiwa unavuta pumzi na una uzima huugui popote ni sababu tosha ya kuwa na amani,
2. We ishi tu usiyawaze maisha, kama una uwezo wa kula anzia hapo, lala usingizi wa kutosha.
3. Kama una watoto na hujui pa kuanzia unaweza kuwaegesha kijijini we ukapambana au kama una shamba kijiji unaweza kulima mdogo mdogo
4. Usitengeneza majukumu kama huna njia ya kuyatatua maana hakuna mtu atayekuhurumia wala kukusaidia-mimi nilifika miaka 30 sijazaa maana nilijua nikizaa nitalea na mtoto hali udongo.
 
Brother angu mjeda tangu aondoke jeshini akiwa na familia Changa baadae mke aka mwacha wakiwa na mtoto mmoja..

Mpaka leo hataki kuoa Wala kuongeza majukumu anayaogopa Sana kanambia hataki kuleta kiumbe kije kuteseka 😊😊😊😂😂
 
Kuondoka kuacha Jeshi au kuondoka vipi?
 
Back
Top Bottom