Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Hivi kuna kijana amekuja hapa na kusema tayari anajua kijerumani kajitahidi kusoma na hana pesa ya mtihani au ni visingizio kila kitu. Huwezi kulaumu kitu ambacho ujaweka jitihada zozote [emoji2089]. Vijana wenzetu kenya nao wametokea familia masikini lakini hawana lalama kila siku. Mnasubiri mpaka matatizo yanakuwa makubwa ndiyo mnakuja kuomba huruma. Wazee wetu wangekuwa hivi walikulia kwa wakolini wanaondoka kwenye vijiji watoto wao ni sisi wengine tuko Dunia nzima maana walikuwa wanajiendeleza sio kulalama
Utajibiwa kadri ya ulivyokuja... Kwasababu umekuja king'ombe ng'ombe ngoja tukuzabue king'ombe ng'ombe Jinga wewe!
Nani kakwambia hakuna wakenya wanaolalamika!
Umewahi kufika Kenya ? Yale maandamo ya wakenya sio kulalamika kule.
Kama uko US wamarekani hawalalamiki Sasa hivi kuhusu boarder policies? Hara Elon musk Kila siku analia kuhusu boarder policies.
Wewe lofa muosha matakore ya wazungu au mbeba boksi unamuona mtanzania mwenzako hajiekew akilalamika, SHWAIN WEWE.
Wakenya kibao nawajua hata hizo Kozi za Kijerumani Zinawapiga chini kwasababu ya Kukosa hizo Hela.
Halafu nani kakwambia nje ndio kuna maisha rahisi. Zaidi ya paycheck to paycheck lifestyle labda uzuri wa maghorofa.
Badala uje hapa utoe ushauri according na Mada unatuletea umaamuma wako.
Angekuwa ni demu hapa amekuja kuomba ushauri ungemsaidia ila kwasababu ni mwanaume unaleta uhayawani wako. Pumbavu wewe!