Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Wala hata usihofu mkuu, hafi mtu hapq, unataka uende wap na maisha haya magumu umuachie nani? Uwakimbie Wanao wakabak kuteseka pekee yao ?

We kunywa maji mengi relax. Hufi wala nink japo chamoto unakiona ila kufa sio leo wala kesho. Nakuhakikishia mwaka huu unautoboa vyedi kabisaa.

JUst back to drawing board, plan and plan and plan.
 


Vijana mnapata matatizo kwasababu mnaiga sana. Kuoa mapema wakati hamjitambui na hamjui kutumia fusa zenu.

1. Kwanza acha kufikiria au kusubiri huruma kutoka mitandaoni. Huku utapata mawazo lakini weka watu wakupendao karibu usitegemee mapenzi kutoka mitandaoni ni fake
2. Imani ni muhimu huwezi kujifikiria mabaya na kutegemea mazuri. Yaani kuna vijana ambao wanaumwa kweli na wameshindikana. Dereva wangu ana miaka kama 32-34 hapo ana cancer na imesha enea sasa wanampa dawa za kuongeza siku zake tu lakini kiafya ni ngumu kupona. Weer umekaa na kujizushia magojwa na kujisikiliza! Kuumwa kichwa sio ugojwa ni dalili za mwili wako kuwa na matatizo mengine.
3. Jiulize umetumia mtandao kutafuta fursa. Unasema wewe ni mwandishi umeandika nini hasa cha kukuongezea kipato. Je umetumia mtandao kutafuta fusa nje ni masaa mangapi kwa siku umetumia kutafuta fursa. Serikali inatoa mpaka mashamba ya bure umejaribu kufanya utafiti kwenye hilo. Mnafikiria sisi ambao tuko diaspora tuliletewa barua mlangoni na kubebwa hapata tulitafuta fursa tena wengi kabla hata ya mitandao. kuna watu walienda kuomba viza Zambia, wengine walitengeneza fake bank statements, wengine walifanya mitihani mbali mbali. Siku hizi vijana wana miaka 30 bado wana lalama kila siku. Sisi tuliondoka 1997-2007 hapo hapakuwa rahisi.

Yaani nilisikia mfano ukisoma kigerumani na kufaulu mtihani wao wanakupa visa ya kwenda kule kufanya kazi. Je unajua haya au unashinda kuomba huruma! kama hujui kwanini hujui na mimi najua ? jiulize maswali kama haya. Kama hamna fursa tafuta sehemu za kwenda na kujipanga sio kulalama. Maisha hayajawahi kuwa rahisi.

Ushauri tumia muda kutafuta fursa nenda kwenye youtube katafute video za fursa acha kujiombea mabaya na utamaduni wa kulalamika sio mzuri na uache mara moja
 
kila jambo tunaweza kujifunza na kuzoea, jaribu kutafuta hobbies nyingine.
utakuja kunishukuru mkuu
 
nitajitahidi japo kitu ninacho kipenda zaidi ni simu au computer yangu... hivyo ndio huwa natumia muda mwingi mno kuwa navyo...!​
basi kwenye hivyo vifaa unavyotumia muda mrefu, epuka kusoma au kufuatilia maudhui yasiyofaa.
nadhani nilivyosema yasiyofaa umenielewa. wewe ni mtu mzima ndugu mwandishi
 
nimekuelewa sana nitajitahidi πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ndugu maisha yana sehemu kuu tatu ambazo ni kuzaliwa, kuishi, na kufa!
Na ktk kipindi cha maisha zipo changamoto ambazo kila mwanadamu hupitia hata hao kina matajiri na viongozi wa kitaifa wanazo changamoto.
Sasa ukijua hilo wala haitakupa shida ya kuona matatizo yapo kwaki tu.
Kiroho ni kuwa ipo roho ya mauti ambayo inakufuatilia haiwezekani et 9 yrs mtu ulishaanza kujaribu kujiua.
 
Ugumu wa maisha hauhusian na ndoa kuna watu hawajaoa na wanamaisha magumu sana
 
shukrani nitajitahidi πŸ™
 
Ugumu wa maisha hauhusian na ndoa kuna watu hawajaoa na wanamaisha magumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…