Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

thanks 🙏🙏🙏
 
Hao watoto umeshafikiria wataishi vipi bila kuwa na mtu wa kuwaongoza mkuu? Maisha hayajawahi kuwa rahisi kwa yeyote yule nikuombe sana sana tuliza ubongo huo bado una nafasi ya kuwasaidia watoto wako.
 
We ni mpumbavu kama huna cha kumsaidia mtu kaa kimya kenge wewe!


Kila mtu akitumia grounds zako kutosaidia mtu nani atamsaidia mwingine!


Hivi unajua hiyo mitihani ya Kijerumani ni 700,000 Kwa kozi Moja na mtihani wake ni 300,000. Hiyo ni A1 Bado A2 , B1 na B2. Hizi ni atleast uwe nazo hapo si chini ya milion 4. Unajua ni vijana wangapi wa kitanzania wana uwezo wa kupata milion 4. Mjinga wewe!


Wewe unabeba boksi huko ughaibuni unawaona wenzako wajinga. Hakuna kijana asietaka kutoka kimaisha na vijana wanapambana.


Hata huko ulipo ughaibuni mbona watu wanajinyonga sana na Mental Illness rates zake ziko juu kuliko huku Tanzania inamaana na wao ni wavivu kama vijana wa Tanzania kama kichwa chako kinavyofikiri ujinga!


Huyu aliendika hapa ni Depression na Stress badala umpe ushauri unaleta "Umalaya" wa kimagharibi. Shwaini wewe!
 
Fanya ujiue utuachie mkeo usijitese sana we fanya maamuzi tu
 
Mkuu ukijiua itakua vizuri kwasababu utakua ushaepukana na matatizo yote ayo
 
Mtoa mada ana zaidi ya depression . Depression yake imekata zaidi ya miaka mitatu huyu. Hii ni chronic inaitwa psychosis! Watu wake wengi hufanya majaribio ya kujiua na hawawezi kufikiria zaidi... Juzi juzi mhsndo alitoa koneksheni ya kwenda kufanya Kaz Dubai akadai unalipia elfu hamsini. Kama ingekuw bongo mbaya yeye mwenyewe angeondoka wa kwanza

Alafu Toka nimfaham jamaa kapigwa na maisha muda mrefu. Na ana mategemeo ya kufikia ndoto zake alizozipanda kichwani. Haoni ukuu na mamlaka ya mungu ndani yake, na hata hapo alipo Kuna Wengine hawana. Kazi alitoa the bump mm nilitaka kumuunga mwanangu nimemaliz nae chuo sahiz hata kula mlo mmoja mtihani,. Ile kazi kaja kuipata mhando, sijui sasa imekuaje huko shamba.
 
Yani mkuu angejua hapa wat Wengine yametufika hapa.. tunayanywea maji tu
 
ile kazi ya shamba kisarawe siku ipata mkuu...!
 
Hizo haloperidol, amitriptyline na folic acid ni dawa za mental issues. Ni hizi zinatumika kupoza anxiety, dementia, sonona na bipolar. Pia psychosis ambayo unayo!

Kwa sasa nakushauri utafute amitriptyline na azuma unywe na uongeze muda wa kulala.

Ipi unayo katika dalili hizi
1. Unalala sana kupitia kias Cha kawaida? (Zaidi ya masaa 12 kwa siku)
2. Huwez kulala kwa kutosha, aida unaamka amka usiku, unalala kwa shida (insomnia), unapata mawenge ukilala?
 
Na yananywewa maji Hadi yatapita tu dadadeki!!Huyu nikimkalisha nikampa Moja na mbili zangu mbona hicho kichwa anachoona kizito kitakuwa chepesi ghafla​
inabidi tutengeneze majukwaa ya vijana kushauriana ana kwa ana kwakweli hali mtaani ni mbaya mno.

watu jamii yangu wapo wengi na awana pa kusemea... wakuu ukiona mtu kajinyonga usimcheke😭😭😭

kuna mambo hayaelezeki​
 
Usipende kukaa peke yako...

Acha kuwaza kufa, utakufa kweli.

Anza kufanya Toba, pia Kiri kwa kujitamkia mazuri uliyotaka kuwa nayo.

NB: Changamoto za maisha Kila mtu anazake haupo peke yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…