Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Yesu ndiye dawa ya huo uraibu, ukimpokea yote hayo yatakwisha na hamu ya pombe itabaki historia.
Barikiwa saana mkuu [emoji120] ahsante kwa ushauri
 
Unatakiwa mkuu kabla ya kuanza kuishusha unatupia foundation ya kitimoto au sato mkubwaa ndio unaanza kunywa na kama walivyosema wenzangu hapo juu, kama unakula viporo vya ugali achana na hiyo kitu itakuua.
[emoji23][emoji23][emoji23] et vipolo vya ugali sawa mkuu
 
Tangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
MAJI/ICE CUBE NA NDIMU
ACHANA NA KUMIX NA ENERGY MNAUA MAINI N FIGO
 
KONYAG NZURI SANA KULIKO K VANT,,,,,
KVANT INAUA NA NGV,,,,,,
 
2.KUNYWA KWA KIASI USIONE MWENZIO KAWEKA BAPA UNALAZIMISHA LIISHE UTAKUFA ULIZA WA MUHIMBILI
 
Piga supu supu....nyama hiviii....usisahau maji....
 
Ukinywa konyagi inatakiwa ugonge kitimoto ya maana.

Acha ujinga mkuu kula tu hata km ni muislamu maana hizi dini tumeletewa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…