Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Unatakiwa mkuu kabla ya kuanza kuishusha unatupia foundation ya kitimoto au sato mkubwaa ndio unaanza kunywa na kama walivyosema wenzangu hapo juu, kama unakula viporo vya ugali achana na hiyo kitu itakuua.
[emoji23][emoji23][emoji23] et vipolo vya ugali sawa mkuu
 
Tangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
MAJI/ICE CUBE NA NDIMU
ACHANA NA KUMIX NA ENERGY MNAUA MAINI N FIGO
 
KONYAG NZURI SANA KULIKO K VANT,,,,,
KVANT INAUA NA NGV,,,,,,
 
2.KUNYWA KWA KIASI USIONE MWENZIO KAWEKA BAPA UNALAZIMISHA LIISHE UTAKUFA ULIZA WA MUHIMBILI
 
Ukinywa konyagi inatakiwa ugonge kitimoto ya maana.

Acha ujinga mkuu kula tu hata km ni muislamu maana hizi dini tumeletewa tu.
 
Back
Top Bottom