Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Nahisi uchovu sana kila nikinywa konyagi, shida nini?

Nani akufuate bar kupiga mizinga, nyie mkishalewa huwa hamjitambui. Mnaanza kutukana wake zenu, watoto wenu mnawapa shida sana
Sijawahi kumtumkana mke wala mwanangu tena naipenda familia yangu kuliko chochote mkuu
 
Back
Top Bottom