Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

"Bia baridiii kama barafu"...in Ephraim Kibonde's voice
 

Ila mwanaume wa kukaa sana nyumbani naye anachosha sana mkuu! Ni kma mwanamke wa kukaa ndani tu hana idea hata kidg anavyochosha naye!
Raha ya mwanaume unasafir kiasi..hukai sana hom unakaa ndani mwishow utaanza fanana na sebule yako🤭!
Mimi napenda mwanaume anayerudi sa1,2 amebeba zawadi na mahitaj ya hom! Sio unarudi mamikono matupu na lilaptop lako hata kubeba tikiti tu huwezi🤭!
Yaani uwe na mishe mishe nyingi nyingi ukifika ukioga ule ulale usisumbue mkeo🤸‍♂️🤸‍♂️! Mwanaume anayeshinda shinda hom bas hakawii kunanii! Ah natania tu rafiki angu!
Nataniaa
 
Ha ha ha ha utani wenye ukweli ndani yake.

Anawabana huwezi hata kuteta umbea na jilani[emoji16][emoji16][emoji16]
 
"Bia baridiii kama barafu"...in Ephreim Kibonde's voice
Alikuwa anasema Mbiguni hakuna Bia hivyo tujitahid kunywa tukiwa bado dunian[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nakukaribisha uunge mkoni juhudi za furaha za kundi hili.
 
Utawaonea huruma asubuhi yake wanavokuwa wagonjwa kabisa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 

Sasa huyo anaekaa nyumbani kila siku basi ni mlinzi alieajiriwa [emoji23][emoji23]

Hata mimi siwezi kaa ndani maana ni mtu wa kazi siku 6
Nyumbani kuniona ni nadra sana
Huyo anaekaa tu basi hafai kabisa hata kama hana kazi haemdi hata kwa washkaji?
Ila sio Pub all day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…